Mbona kama mwendakuzimu ndiye failure kuliko wote kwa mtazamo wangu lakiniMliichafua Ccm kwa kashfa nzito amabazo mlihusihwa kuzitenda.
Mlihusishwa na kashfa za kila namna kuanzia Escrow, Lugumi Kagoda na kila aina ya ufisadi uliotokea.
Mwaka 2015 Ccm ilichafuka kwa sababu ya uchafu na ufisadi mliouzoea. Ndipo ikaonekana kiongozi aliyefariki angalau asimame ili kukinusuru chama cha CCM. Kweli aliposimama Ccm ikapata ushindi na akasafisha chama na serikali. Matokeo chanya yakaonekana.
Leo hii mmesahau kuwa huko nyuma mlishawahi kukichafua chama chenu cha Ccm. Na mmeanza mikakati mibaya sana.
Kama kweli angekuwa na ubavu wa kuikoa CCM 2015 asingetumia nguvu kubwa 2020 kubaki madarakani, uchaguzi wa 2020 haukuwa uchaguzi bali uchafuzi inajulikana kama CCM mara zote wanaghushi matokeo lakini 2020 ilikuwa imetia fora maana si udanganyifu bali ni unyang'anyi.Mliichafua Ccm kwa kashfa nzito amabazo mlihusihwa kuzitenda.
Mlihusishwa na kashfa za kila namna kuanzia Escrow, Lugumi Kagoda na kila aina ya ufisadi uliotokea.
Mwaka 2015 Ccm ilichafuka kwa sababu ya uchafu na ufisadi mliouzoea. Ndipo ikaonekana kiongozi aliyefariki angalau asimame ili kukinusuru chama cha CCM. Kweli aliposimama Ccm ikapata ushindi na akasafisha chama na serikali. Matokeo chanya yakaonekana.
Leo hii mmesahau kuwa huko nyuma mlishawahi kukichafua chama chenu cha Ccm. Na mmeanza mikakati mibaya sana.
Wanaelewa vizuri sema tuu wanajitoa akili.Nyumba za serikali ziliuzwa kwa ridhaa ya baraza la mawaziri, Sumaye akiwa waziri mkuu.
Ndo maana hakitagusa Chochote Hata Ujumbe wa Serikali ya mtaa
Isitoshe KANDA PENDWA YA KWETU ILISHAMSAFISHA
AU HAUAMINI SABUNI ALIYOTUMIA MBOWE??
Ni ngumu sana kuiona Hoja Wakati JPM alikutemesha kazi-Vyeti FekiHuku umepotea njia viroja watakaodai ni hoja Chatto au Makunduchi.
Huku holaaaa!
Mkuu wajua pamoja na uduni wa akili yako lakini ungesimamishwa na Jiwe ungeshinda pia, Jiwe alikuwa hakubaliki kabisa na ndiyo maana waliiba kura,Wa kumuuliza ni wewe unayechanganya Madesa!!! Kwa faida ya Gaidi
Maana wenye Uelewa wanafahamu what happened
Na wanafahamu baada ya hizo kuuzwa ngapi zilijengwa kulinganisha na zilizouzwa
Unapaswa kuitendea HAKI NAFSI YAKO MAANA VITU VINGINE VINAEPUKIKA
John hakumshinda lowassa,aliiba kura
Ni ngumu sana kuiona Hoja Wakati JPM alikutemesha kazi-Vyeti Feki
Kwa Sasa tunavumiliana tu unapotapika hivyo,
Inajulikana
Yaani hata kwenye mitandao huwezi kuongea kwa uwazi. Hizi ni porojo kama huwezi kutaja watu unao waongeleaMliichafua Ccm kwa kashfa nzito amabazo mlihusishwa kuzitenda.
Mlihusishwa na kashfa za kila namna kuanzia Escrow, Lugumi Kagoda na kila aina ya ufisadi uliotokea.
Mwaka 2015 Ccm ilichafuka kwa sababu ya uchafu na ufisadi mliouzoea. Ndipo ikaonekana kiongozi aliyefariki angalau asimame ili kukinusuru chama cha CCM. Kweli aliposimama Ccm ikapata ushindi na akasafisha chama na serikali. Matokeo chanya yakaonekana.
Leo hii mmesahau kuwa huko nyuma mlishawahi kukichafua chama chenu cha Ccm. Na mmeanza mikakati mibaya sana.
Kwenda Huko ni zamu kwa zamuSi ukamfufue au ukaungane naye huko kwenye uongozi wa malaika?
Au hujui Gwajiboy ndiye mfungiaji mkuu?
Mh, ujumbe umeupata.Yaani hata kwenye mitandao huwezi kuongea kwa uwazi. Hizi ni porojo kama huwezi kutaja watu unao waongelea
Baraza la mawaziri ndo lilitoa ridhaa ya kuwauzia Nyumba mahawala wa jiwe?Nyumba za serikali ziliuzwa kwa ridhaa ya baraza la mawaziri, Sumaye akiwa waziri mkuu.
Ni kama tu Mbowe alivyokuwa anagawa Ubunge Viti Maalum kwa akina MUNKYA, LISSU NA DADA MTUBaraza la mawaziri ndo lilitoa ridhaa ya kuwauzia Nyumba mahawala wa jiwe?
Mkapa na john walitufanyia dhambi kubwa ndio maana Mungu aliingilia katiKikwete anamuhadaa Sana mama huku akijua umaarufu wake uliporomoka Sana hakuwa na ushawishi wowote kwa wananchi,ilimulazimu mwendazake kutumia muda mwingi Sana kwenye kampeni akijipambanua yeye atakuwa tofauti na uozo uliokuwepo.
Leo JK anajiona superstar wa kutoa maelekezo ambayo yeye mwenyewe yalimshinda,wana CCM wakamwimbia tunaimani na Lowassa. Asante Mkapa kwa ubabe wake alimunusuru JK na aibu ya Karne.
Sasa tulieni na wenzenu wale maisha . mnabweka nini ?Ni kama tu Mbowe alivyokuwa anagawa Ubunge Viti Maalum kwa akina MUNKYA, LISSU NA DADA MTU
Haya maisha tu ndugu yangu utafanyaje sasa
Kwenda Huko ni zamu kwa zamu
Mimi siku yangu Ikifika nitakwenda
NAAMINI WEWE FAMILIA YENU HAYA HAYATOKEI MAANA MUNGU NI MJOMBA WAKO