Mbona kama mwendakuzimu ndiye failure kuliko wote kwa mtazamo wangu lakiniMliichafua Ccm kwa kashfa nzito amabazo mlihusihwa kuzitenda.
Mlihusishwa na kashfa za kila namna kuanzia Escrow, Lugumi Kagoda na kila aina ya ufisadi uliotokea.
Mwaka 2015 Ccm ilichafuka kwa sababu ya uchafu na ufisadi mliouzoea. Ndipo ikaonekana kiongozi aliyefariki angalau asimame ili kukinusuru chama cha CCM. Kweli aliposimama Ccm ikapata ushindi na akasafisha chama na serikali. Matokeo chanya yakaonekana.
Leo hii mmesahau kuwa huko nyuma mlishawahi kukichafua chama chenu cha Ccm. Na mmeanza mikakati mibaya sana.