Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Niffer ni binti yangu. Achana na ushangazi wa Fatima Karume na Udada wa Taifa wa Mange.Baaasi imekwisha.
Hamuambiwi kitu kumhusu mkampinga, tofauti yenu na wale wanaomuona mange ni dada wa taifa ni ndogo, ila nyote mpo kapu moja.
Sema anahisi ila mapumziko ya Scania ni habari ingine mkuu..Mchina ni mjuzi sana wa "customer feedback and complaints", anaboresha vitu vinavyolalamikiwa. Mfano; Howo tractors, mwanzoni alilalamikiwa sana cabin kutokuwa na comfortability, sasa hivi anatengeneza cabin ina kila starehe na dereva anahisi kama yupo kwenye Scania tuu. π
Hakuna G wagon itafanana bei na hizo gari hao Wagon wamejiweka class yao hata kama ubora ni wa kawaida ila bei ndio imesimama..Mpya zero KM kwa mchina inawezekana mkuu hata kwa mtu wa kipato cha kawaida. Nimeona hapo juu unasema Jetour ni "expensive and popular" kuzid baadhi ya toleo za G-Wagon. Hebu fafanua mkuu. Wagon toleo gani? Je, ni mpya au used ya kufananisha na JT?
Mkuu huko SA si wanauza used za mchina kama mtu akitaka kununua?Tanzania model za gari zinachelewa sana kufika watu wapo na sare miaka yote hizi gari za Mchina ni za miaka mitano nyuma baadhi ya Nchi za Afrika walianza kuzitumia sisi tunazijadili 2026..
Zipo nyingi sana mimi nanunua used za 2020 kuja miaka ya mbele nipo Tanganyika tukijaaliwa uzima Monday narudi SA..Mkuu huko SA si wanauza used za mchina kama mtu akitaka kununua?
Kwa asiyejua magari atasema hivyoHu Jintao njoo mkuu Xi Jinping amerithi tu shida ni wewe.
Kalaghabaho.Maana yake huna ushahidi. Halafu chengine, kuwa na dealer sehemu haimaanishi huwezi kuagiza gari toka inapotengenezwa kwa kumtumia dealer si ndio?
Unataka Tra, Takukuru, polisi na Tiss wawe wanalala mlango kwako!Mkuu hata gari za Europe au Japan hawakusudii ukae nalo mpaka lifanane na wewe. Kuna msemo wao vitu fulani ni life time kubadili kumbe wao life time ni miaka 5-6 kutoka mpya ushaachana na hio gari ume upgrade kwenye toleo jipya. Je wabongo tunaweza?
Kama unaweza kubadili gari mpya kila baada ya miaka 3-5 Mchina anakufaa sana. Na hapa nazungumzia mpya.
Gari ya nifa , ya mchina haina mda( jokes).πππ ila kwa voice within me Pascal Mayalla naiona kama ni nzuri kwa muonekano ila haina ubora π€
Wachina kwa kuzalisha vitu kwa ajili ya Afrika ,vyenye ubora unaotakiwa sina imani nao kabisa.
Kama hizi basi ndio bure kabisa, kila siku zinawaka moto, sijui shida ipo wapi?
Xi Jinping
Mshikamano Investment - T512CFYntajie basi la mchina namba C lililopo barabarani?
Hilo lina engine ya Scania πππMshikamano Investment - T512CFY
Kampuni ya akina Ndenjembi! Labda wataifufua maana mtoto kawa Makamu Rais..Mshikamano Investment - T512CFY
Yutong za nbs au Nyahunge mbona zipo vizur tangu nimeanza kuziona? Hata Alsaedy zipo vizur. Zenyewe wanatoa wapi..KIONGOZI umenishtua sana Yaani mabasi ya kichina Kila siku yabawaka moto,ina maana kwa mwezi zaidi ya mabasi 30 yanaungua .Kama unachosema ni sahihi hiki ni jambo zito.
Kumbe jamaa kweli ni mgogo?Kampuni ya akina Ndenjembi! Labda wataifufua maana mtoto kawa Makamu Rais..