Inawezekana kubadili kila miaka 3-5? Kipato cha kawaida cha mtanzania ni kiasi gani kwa mwaka? Unajua wale top 1-5% wa Tz wako kwenye bracket ya kiasi gani kwa mwaka?
Kwa mtu mwenye kipato ghafi cha 120M - 200M (kabla ya makato) bila kujali vipaumbele vyake, anaweza nunua gari zero km ya mchina kila baada ya miaka mitano. Zipo gari za mchina zero KM za bei za kawaida mkuu.
Hao top 1-5% sijui ni watu gani mkuu, labda unieleze.