Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Wewe unaamini kanunua au janja ya Wachina?Sasa hio ndio habari ya mjini sasa. Kila mtu anataka Jetour
Wewe unaamini kanunua au janja ya Wachina?Sasa hio ndio habari ya mjini sasa. Kila mtu anataka Jetour
I really don't know.Wewe unaamini kanunua au janja ya Wachina?
Gari ya 100mil ina payload 300kg 😏Mchina kwenye marketing yupo vizuri sana. Hiyo gari Wana advertise ina 600hp lakini kiuhalisia ukiwa barabara utajua mwenyewe namna utakavyoipata.
KLM ipo namba A inapiga kazi daily. Si unaona Abood kila baada ya muda mfupi anatoa fleet mpya, hapo asha dispose za zamani kwa wafanyabiashara wa wilayani huko.Mchina kashika soko la Africa sio kwa sababu ya ubora, ila bei, lakinj magari yake sio durable. Juzi naona Marcopolo namba C ya Kilimanjaro Express imesimama wakati Yutong namba D ni kama zinapotea, zimechoka.
🤣🤣🤣shenzi kabisa ww🤣🤣🤣 eti mabati ya simba imara..Zinazopelekwa afrika ni mabati ya simba imara😆
SA zipo zilizopata ajali maana wao ni wabishi kitu kipya wanaruka nacho wazee wa kujiuliza bongo ndio kwanza tunaijadili..Huyu demu ana Hela za mchezo, asa ndio gari gani ili?View attachment 3695268
Ila sina Imani na Mchina, usikute Jetour wamempa kama awatangazie. Maana wako Nyerere Rd.
Wanaiponda Jetour yako.....nawaona tu insta mnatusanifu 'Jetour open sunroof' kitu kinafungukaMhhh
Kwamba ile Jetour T2 ninazoona mtandaoni na barabara za Tz zina 600hp? Kama G63 sio? Kuna siku natoka Dom jamaa ana pick up ya kichina Foton anakuja ananiletea dharau ha ha ha nilimuonesha kwa vitendo Mjapan na Mchina tofauti. Yeye ana gari mpya mimi nina chuma chakavu chenye 130k lakini aliona cha moto.Mchina kwenye marketing yupo vizuri sana. Hiyo gari Wana advertise ina 600hp lakini kiuhalisia ukiwa barabara utajua mwenyewe namna utakavyoipata.
Ishakua kuwa yangu...😃😃ila gari kali muonekano mzuri....sisi wadada hatujali engine au sijui imeundwaje humo ndani kiphysic...tunataka muonekanoWanaiponda Jetour yako.....nawaona tu insta mnatusanifu 'Jetour open sunroof' kitu kinafunguka
Propaganda za Waingereza 😀😀😀. Sio mbovu kiivyo vita vya biashara navyo vipo kazini.Juzi kuna gar moja ya kichina imeacha rear axle barabaran
Niffer kainunua pale Posta city centre kuna dealer wao.Angalau Niffer ameweza hata kuiagiza toka China na ikashuka Bongo kwa ndege!😄😄😄😄
Wewe Sasa, hata guta la SIDO umeshindwa kununua unajadili ndinga za wenzako! Pumbavu!!!
Ila wewe humu ni kama balozi wa gari za kichina inakuwaje unakuwa skeptical nazo ghafla?sina Imani na Mchina, usikute Jetour wamempa kama awatangazie. Maana wako Nyerere Rd.
Gari kama gari naikubali. Sana. Ila Niffer anunue naona kama haimake sense.Ila wewe humu ni kama balozi wa gari za kichina inakuwaje unakuwa skeptical nazo ghafla?
Finance ni wewe na bank. Dealer anapewa cash yake then wewe utapambana na bank kwenye interest. Gari ya 120m utainunua kwa 150m na by the time unamaliza mkopo ishachakaa.Sasa sijui hii imekaaje. Kwamba unabaki kusaiana na bank (ambayo itakua maumivu sana), au unaiana na Jetour (ambayo sidhani kama wataweza
Hii hapana. Ilinikuta TBA (Tanzania Building Agency). Nikakimbia.Finance ni wewe na bank. Dealer anapewa cash yake then wewe utapambana na bank kwenye interest. Gari ya 120m utainunua kwa 150m na by the time unamaliza mkopo ishachakaa.
Mkuu EV za mchina zimeshika soko la europe... Australia zimeshika EVs na gasoline.Gari ya nifa , ya mchina haina mda( jokes).😆😆😆 ila kwa voice within me Pascal Mayalla naiona kama takataka na toi la kuchezea watoto wadogo🤔
Wachina kwa kuzalisha vitu kwa ajili ya Afrika ,vyenye ubora unaotakiwa sina imani nao kabisa.
Kama hizi basi ndio bure kabisa, kila siku zinawaka moto, sijui shida ipo wapi?
Xi Jinping