Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Acha ujinga 😹Je nini vile 😅😅 ,l
Acha ujinga 😹Je nini vile 😅😅 ,l
Gharama imerudi na faida juuHayafikishi 5yrs yanarudi trip za wilayani.
Unanunua gari la kuweka makumbusho au la biashara..?Hayafikishi 5yrs yanarudi trip za wilayani.
Huku UK , mbona Yutong za kutosha tu tunazipandaMabasi ya kichina mlisema mabovu, leo yametawala barabarani. Trucks same thing, leo Howo zinatawala. Simu pia ilikuwa hivyo hivyo leo mchina kashika soko la Africa. Ni suala la muda tu.
Magari ya kichina yana bei nafuu na features za kutosha. Kuna gari taa zake za mbele ni projector unawasha unaangalia movie, lakini bei kitonga. Hiyo feature ukiikuta kwenye gari la Mmarekani au Mjerumani, utalipia hadi figo 🤣
Possible.Gharama imerudi na faida juu
Sawa.Unanunua gari la kuweka makumbusho au la biashara..?
Huku UK , mbona Yutong za kutosha tu tunazipanda
Zinazopelekwa afrika ni mabati ya simba imara😆Kwa features mizungu hayagusi kabisa magari ya mchina afu bei kitonga. Na sio mabasi tu hata magari madogo ya China yanauzika zaidi UK kuliko gari za Ulaya:
View attachment 3694925
Mkuu, zile bus za mwendokasi, zilianza kazi mwaka 2016 nadhani, na hazijafanyiwa service ya maana, zinapiga safari deile, overloaded, engine nyuma nk, ila mpaka leo, takribani miaka 10, zipo na zinapiga kazi. Majuzi hapa road nimekutana na HOWO truck ni namba C lipo mang'anyu, naamini zipo kadhaa barabarani, sasa namba C official ya mwisho ilitoka 2014 (miaka 12 iliyopita).Hayafikishi 5yrs yanarudi trip za wilayani.
Angalia dereva anavyoonekana mdogo, hapo wauza mayai ya kuchemsha hata dirishani hawafikiMade 4 uk
Ni disposable products. Ni mzuri kwa projects za muda mfupi.
Haya matakataka ya kichina afrika yamesababisha majanga makubw mno, wanayapa mwonekano tu hayo mabox 😆
Zinazopelekwa afrika ni mabati ya simba imara😆
Acha wivu yako iko wapiGari ya nifa , ya mchina haina mda 😆😆😆 ila kwa voice within me Pascal Mayalla naiona kama takataka na toi la kuchezea watoto wadogo🤔
Xi Jinping