Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jul 22, 2026 #1 Wakifanikiwa wanakanusha,Wakishindwa wanadai ulikuwa na kosa watalitafuta mda wanaojisikia. Kwa dunia hii mshaingia kwenye rekodi mbaya na uchafu wenu. Mnavutiwa mda ili mkishawekwa kitimoto msianze kulalamika kuwa tunawindwa.
Wakifanikiwa wanakanusha,Wakishindwa wanadai ulikuwa na kosa watalitafuta mda wanaojisikia. Kwa dunia hii mshaingia kwenye rekodi mbaya na uchafu wenu. Mnavutiwa mda ili mkishawekwa kitimoto msianze kulalamika kuwa tunawindwa.
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 21,572 Reaction score 15,610 Jul 22, 2026 #2 Fbn said: Wakifanikiwa wanakanusha,Wakishindwa wanadai ulikuwa na kosa watalitafuta mda wanaojisikia. Kwa dunia hii mshaingia kwenye rekodi mbaya na uchafu wenu. Mnavutiwa mda ili mkishawekwa kitimoto msianze kulalamika kuwa tunawindwa. Click to expand... Kuna nchi gani duniani watu hawatekwi?
Fbn said: Wakifanikiwa wanakanusha,Wakishindwa wanadai ulikuwa na kosa watalitafuta mda wanaojisikia. Kwa dunia hii mshaingia kwenye rekodi mbaya na uchafu wenu. Mnavutiwa mda ili mkishawekwa kitimoto msianze kulalamika kuwa tunawindwa. Click to expand... Kuna nchi gani duniani watu hawatekwi?
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 15,568 Reaction score 29,756 Jul 22, 2026 #3 CCM na tawi lao la policcm wanatumia propaganda za cold war zama hizi!
Patrice Diounis JF-Expert Member Joined Jul 24, 2023 Posts 1,086 Reaction score 2,254 Jul 22, 2026 #4 Serikali ya Ufafanuzi na sink tank Msigwa Kota mmoja elewa sink
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,265 Reaction score 98,318 Jul 22, 2026 #5 Fbn said: Wakifanikiwa wanakanusha,Wakishindwa wanadai ulikuwa na kosa watalitafuta mda wanaojisikia. Kwa dunia hii mshaingia kwenye rekodi mbaya na uchafu wenu. Mnavutiwa mda ili mkishawekwa kitimoto msianze kulalamika kuwa tunawindwa. Click to expand... Ndiyo maana wale vijakazi wao wanashangilia wanaposikia Trump anataka ICC isimamishe shughuli zake
Fbn said: Wakifanikiwa wanakanusha,Wakishindwa wanadai ulikuwa na kosa watalitafuta mda wanaojisikia. Kwa dunia hii mshaingia kwenye rekodi mbaya na uchafu wenu. Mnavutiwa mda ili mkishawekwa kitimoto msianze kulalamika kuwa tunawindwa. Click to expand... Ndiyo maana wale vijakazi wao wanashangilia wanaposikia Trump anataka ICC isimamishe shughuli zake