Hivi mnafanyaje kuishi na mtu anayenuna?

Wakuu salaam kwenu. Imebidi niombe maoni yenu kwani Kuna tabia za ajabu ambazo kuishi nazo yataka moyo.

Tumepiga kambi kwa kazi Fulani ya miezi sita Mimi na jamaa zangu watano,hivyo tupo jumla watu sita, wote wanaume.

Tunaishi maisha ya furaha kama marafiki au niseme ndugu kwani hakuna mwenye tatizo na mwenzake. Wiki mbili zilizopita mwenzetu mmoja kaanza Kununa haongei na wenzake kama zamani.

Salamu ni mpaka umuanze ndo atakujibu Kisha anaendelea na mambo yake.Hii Hali imetusumbua sana kwani hatukuzoea kumwona akiwa hivyo.

Tumejaribu kumuuliza nini shida anadai yupo sawa na majibu yake ni yamkato kuonyesha anahasira Fulani. Hii kazi imebakisha miezi mitatu lakini furaha iliyokuwepo mwanzo imetoweka kwani hatujui mwenzetu nini kimemkuta.

Mnaishije na watu wa aina hii na ukizingatia ni mwanaume baba mwenye familia yake kabisa?
Atakuwa amewasikia wakati mnamsengenya! Wanaume kama mabinti, mnakaa kusengenyana?
 
Ana stress nyingi zinamsumbua wala hazihusiani na nyie
 
Amegundua kuwa "nyie sio type yake" ndio maana anajitenga nanyi. Hapo mwanzoni mlikuwa bado hamjajuana vema, ila sasa mmejuana na kila mmoja achukue 50 zake..
 
Usihangaike na shida za mtu, kama hujamkosea ya nini unamuwazia?
Angalia mambo yako, achana nae, kuanza kumtetemekea ni ujinga.
Mlambeni buyu halafu msishirikiane nae, hata salamu kausheni.
 
Mi hapa jirani kuna mdada alikua hv hv daah kumbe bana ni genye sijui..
Wenzake wote wanasema et nimpige miti ila me NOOOOO NOOOO nina misimamo yangi ya semen retention
 
Wakuu salaam kwenu. Imebidi niombe maoni yenu kwani Kuna tabia za ajabu ambazo kuishi nazo yataka moyo.

Tumepiga kambi kwa kazi Fulani ya miezi sita Mimi na jamaa zangu watano,hivyo tupo jumla watu sita, wote wanaume.

Tunaishi maisha ya furaha kama marafiki au niseme ndugu kwani hakuna mwenye tatizo na mwenzake. Wiki mbili zilizopita mwenzetu mmoja kaanza Kununa haongei na wenzake kama zamani.

Salamu ni mpaka umuanze ndo atakujibu Kisha anaendelea na mambo yake.Hii Hali imetusumbua sana kwani hatukuzoea kumwona akiwa hivyo.

Tumejaribu kumuuliza nini shida anadai yupo sawa na majibu yake ni yamkato kuonyesha anahasira Fulani. Hii kazi imebakisha miezi mitatu lakini furaha iliyokuwepo mwanzo imetoweka kwani hatujui mwenzetu nini kimemkuta.

Mnaishije na watu wa aina hii na ukizingatia ni mwanaume baba mwenye familia yake kabisa?
Jifunze ku master the law of detachment itakusaidiq sana.
 
Mtengeni, lazima atajirudi na ataacha kuwanunia

Back
Top Bottom