Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Koroboi gase chupi duke😂😂😂😂Yuko period
Atakuwa amewasikia wakati mnamsengenya! Wanaume kama mabinti, mnakaa kusengenyana?Wakuu salaam kwenu. Imebidi niombe maoni yenu kwani Kuna tabia za ajabu ambazo kuishi nazo yataka moyo.
Tumepiga kambi kwa kazi Fulani ya miezi sita Mimi na jamaa zangu watano,hivyo tupo jumla watu sita, wote wanaume.
Tunaishi maisha ya furaha kama marafiki au niseme ndugu kwani hakuna mwenye tatizo na mwenzake. Wiki mbili zilizopita mwenzetu mmoja kaanza Kununa haongei na wenzake kama zamani.
Salamu ni mpaka umuanze ndo atakujibu Kisha anaendelea na mambo yake.Hii Hali imetusumbua sana kwani hatukuzoea kumwona akiwa hivyo.
Tumejaribu kumuuliza nini shida anadai yupo sawa na majibu yake ni yamkato kuonyesha anahasira Fulani. Hii kazi imebakisha miezi mitatu lakini furaha iliyokuwepo mwanzo imetoweka kwani hatujui mwenzetu nini kimemkuta.
Mnaishije na watu wa aina hii na ukizingatia ni mwanaume baba mwenye familia yake kabisa?
Ingekuwa mwanamke ningeamini, yani mimi nikiwa period nakuwa wa tofauti kabisaa..!!Yuko period
Pole mkuu.Ingekuwa mwanamke ningeamini, yani mimi nikiwa period nakuwa wa tofauti kabisaa..!!
Najaa visirani kitu kidogo ntamind vibaya..!!
Itakuwa ya mapacha 😹Labla atakuwa na mimba, mimba ina kisirani sana
Ulale 😹Pole mkuu.
Ana stress nyingi zinamsumbua wala hazihusiani na nyieWakuu salaam kwenu. Imebidi niombe maoni yenu kwani Kuna tabia za ajabu ambazo kuishi nazo yataka moyo.
Tumepiga kambi kwa kazi Fulani ya miezi sita Mimi na jamaa zangu watano,hivyo tupo jumla watu sita, wote wanaume.
Tunaishi maisha ya furaha kama marafiki au niseme ndugu kwani hakuna mwenye tatizo na mwenzake. Wiki mbili zilizopita mwenzetu mmoja kaanza Kununa haongei na wenzake kama zamani.
Salamu ni mpaka umuanze ndo atakujibu Kisha anaendelea na mambo yake.Hii Hali imetusumbua sana kwani hatukuzoea kumwona akiwa hivyo.
Tumejaribu kumuuliza nini shida anadai yupo sawa na majibu yake ni yamkato kuonyesha anahasira Fulani. Hii kazi imebakisha miezi mitatu lakini furaha iliyokuwepo mwanzo imetoweka kwani hatujui mwenzetu nini kimemkuta.
Mnaishije na watu wa aina hii na ukizingatia ni mwanaume baba mwenye familia yake kabisa?
Na itakuwa wote wakike 😎Itakuwa ya mapacha 😹
Amegundua kuwa "nyie sio type yake" ndio maana anajitenga nanyi. Hapo mwanzoni mlikuwa bado hamjajuana vema, ila sasa mmejuana na kila mmoja achukue 50 zake..Wakuu salaam kwenu. Imebidi niombe maoni yenu kwani Kuna tabia za ajabu ambazo kuishi nazo yataka moyo.
Tumepiga kambi kwa kazi Fulani ya miezi sita Mimi na jamaa zangu watano,hivyo tupo jumla watu sita, wote wanaume.
Tunaishi maisha ya furaha kama marafiki au niseme ndugu kwani hakuna mwenye tatizo na mwenzake. Wiki mbili zilizopita mwenzetu mmoja kaanza Kununa haongei na wenzake kama zamani.
Salamu ni mpaka umuanze ndo atakujibu Kisha anaendelea na mambo yake.Hii Hali imetusumbua sana kwani hatukuzoea kumwona akiwa hivyo.
Tumejaribu kumuuliza nini shida anadai yupo sawa na majibu yake ni yamkato kuonyesha anahasira Fulani. Hii kazi imebakisha miezi mitatu lakini furaha iliyokuwepo mwanzo imetoweka kwani hatujui mwenzetu nini kimemkuta.
Mnaishije na watu wa aina hii na ukizingatia ni mwanaume baba mwenye familia yake kabisa?
Hahaha.... hujasahau tu mkuu?Koroboi gase chupi duke😂😂😂😂
Jifunze ku master the law of detachment itakusaidiq sana.Wakuu salaam kwenu. Imebidi niombe maoni yenu kwani Kuna tabia za ajabu ambazo kuishi nazo yataka moyo.
Tumepiga kambi kwa kazi Fulani ya miezi sita Mimi na jamaa zangu watano,hivyo tupo jumla watu sita, wote wanaume.
Tunaishi maisha ya furaha kama marafiki au niseme ndugu kwani hakuna mwenye tatizo na mwenzake. Wiki mbili zilizopita mwenzetu mmoja kaanza Kununa haongei na wenzake kama zamani.
Salamu ni mpaka umuanze ndo atakujibu Kisha anaendelea na mambo yake.Hii Hali imetusumbua sana kwani hatukuzoea kumwona akiwa hivyo.
Tumejaribu kumuuliza nini shida anadai yupo sawa na majibu yake ni yamkato kuonyesha anahasira Fulani. Hii kazi imebakisha miezi mitatu lakini furaha iliyokuwepo mwanzo imetoweka kwani hatujui mwenzetu nini kimemkuta.
Mnaishije na watu wa aina hii na ukizingatia ni mwanaume baba mwenye familia yake kabisa?
Wakuu salaam kwenu. Imebidi niombe maoni yenu kwani Kuna tabia za ajabu ambazo kuishi nazo yataka moyo.