Eugene Krabs
JF-Expert Member
- Feb 19, 2026
- 451
- 859
Vipi akifanya-appeal tu na kutaka mahakama itoe justification ya hizo billions in damages.Hukumu ya awali ilishatoka wakati akiwa hai. Sidhani na sina uhakika kama hiyo ina apply wakati wa rufaa.
Kitendo cha kurudisha kesi ianze kusikilizwa upya kwa njia za panya ni kujaribu kuhalalisha hicho ulichosema.
Huwezi tu kuja na figures za reputation damage kuna processes za ku-justify malipo; where is the plaintiff?
Hakuna tena kesi hapo, kilichopo ni watu kujaribu kusafisha kitumbua chenye mchanga.