Eugene Krabs
JF-Expert Member
- Feb 19, 2026
- 451
- 859
Vipi akifanya-appeal tu na kutaka mahakama itoe justification ya hizo billions in damages.Hukumu ya awali ilishatoka wakati akiwa hai. Sidhani na sina uhakika kama hiyo ina apply wakati wa rufaa.
Kitendo cha kurudisha kesi ianze kusikilizwa upya kwa njia za panya ni kujaribu kuhalalisha hicho ulichosema.
Hivyo vitu ni vya kuhoji wakati wa kesi ila wadaiwa wakaamua kutotokea mahakamani. Utasemaje walikuja tu na figures? Hawakupewa haki ya kuhoji hayo yote wakakataa kuitumia?Vipi akifungua kesi ya appeal tu na kutaka mahakama itoe justification ya hizo billions in damages.
Huwezi tu kuja na figures za reputation damage kuna processes za ku-justify malipo; where is the plaintiff?
Hakuna tena kesi hapo, kilichopo ni watu kujaribu kusafisha kitumbua chenye mchanga.
You know what they say “if you live by the sword, you die by the sword”.Hivyo vitu ni vya kuhoji wakati wa kesi ila wadaiwa wakaamua kutotokea mahakamani. Utasemaje walikuja tu na figures? Hawakupewa haki ya kuhoji hayo yote wakakataa kuitumia?
Membe alichokuwa anadai alipwe ni zaidi ya kile alichopewa katika hukumu iliyotolewa na kusema ametoa figures kichwani siyo sahihi maana alitaja justification zake.You know what they say “if you live by the sword, you die by the sword”.
Membe alitumia influence zake kupata maamuzi ya voda-fasta. Na Musiba nae anatumia legal loopholes kutokana mazingira mapya kukwepa kulipa.
Justification ya damages ni nyingi, most common assessment ni ‘loss of expectations’ or ‘reliance loss’; sasa kuna namna ya ku-quantify sio kuja na figures tu kutoka kichwani kwako.
Mwanasiasa tena ambae ni retired ana justify vipi madai ya billions sijui ngapi mahakama ilizo award? From what income expectations.
Hakuna kesi hapo tena pasipo Membe; kuna sababu luluki za mahakama kushindwa kuendelea nayo.
OK tupe justification ya fidia mahakama iliyomzawadia Membe.Membe alichokuwa anadai alipwe ni zaidi ya kile alichopewa katika hukumu iliyotolewa na kusema ametoa figures kichwani siyo sahihi maana alitaja justification zake.
Hao kina Musiba wametoa justification gani ya kutofika mahakamani kujitetea au walitaka kubembelezwa ili kesi iende kwa speed ya TTCL siyo Voda?
Mwisho wa siku, hii siyo "legal loophole" ni uhuni tu. Njoo na hoja za kuhoji thamani ya fidia nitakuelewa ila siyo haya mambo ya viapo.
Mawakili wa Musiba wanatakiwa waulize hayo siyo kuleta uhuni wa viapo. Angalia hapa Membe alichowasilisha mahakamani kama base ya malalamiko yake na fidia anayodai. Hao kina Musiba wangetumia haki yao ya kujitetea wangeweza kuhoji hayo.OK tupe justification ya fidia mahakama iliyomzawadia Membe.
What assessment ilitumika kumzawadia Membe damages ya tsh 6 billion.
Tsh 4 billion ya project gani? Ya taasisi au Membe mwenyewe.Mawakili wa Musiba wanatakiwa waulize hayo siyo kuleta uhuni wa viapo. Angalia hapa Membe alichowasilisha mahakamani kama base ya malalamiko yake na fidia anayodai. Hao kina Musiba wangetumia haki yao ya kujitetea wangeweza kuhoji hayo.
View attachment 3570987
Hayo maswali, upande wa wadaiwa walipewa haki ya kuyahoji ila wakaamua kutotumia haki yao. Bado wamepewa haki yao ya kukata rufaa, wangeitumia haki hiyo kuhoji hayo maswali badala ya kutumia njia za panya za viapo ambazo ni wazi ni uhuni tu umefanyika ili kesi ife kwa kuwa Shahidi Mkuu ambaye ni Mdai ni Marehemu.Tsh 4 billion ya project gani? Ya taasisi au Membe mwenyewe.
Kama ni hela za taasisi, Membe anaguswa remotely hawezi kuwa principal kwenye madai.
Pili kama ni award kiasi gani tsh 4 billion ilikuwa personal income (mahakama inajali net loss ya muhusika sio hela ambazo haziendi mfukoni kwake), vinginevyo Taasisi ingefungua kesi ya madai sio Membe.
Kufukuzwa kwa CCM lipo wazi ni leaked phone conversations za kumnanga mwenyekiti, mchakato wa kumfukuza wa chama utakuwa bado upo na sidhani kama kuna uhusiano wowote na Musiba. Similarly kuondolewa kwa diplomatic privileges hakuna uhusiano wowote na maandishi ya Musiba.
Ni hivi kesi ilikuwa na maamuzi ya influence za kutumia vibaya madaraka; mazingira yamebadilika imekuwa ngumu kukazia maamuzi ya mahakama. Kwa sababu luluki tu, appeal moja wapo ya kupinga kiwango tu madai
Kama nilivyokwambia kuna njia luluki za kutumia ‘loopholes’ zilizojitokeza baada ya kifo cha mdai. Wao wameona inayowafaa na nyepesi kwao.Hayo maswali, upande wa wadaiwa walipewa haki ya kuyahoji ila wakaamua kutotumia haki yao. Bado wamepewa haki yao ya kikata rufaa, wangeitumia pia haki hiyo kuhoji hayo maswali hayo badala ya kutumia njia za panya za viapo ambazo ni wazi ni uhuni tu umefanyika.
Nahisi kama najirudia rudia ili upate point ila najua unajizima data.
Yule jamaa aliwakera nyie chawa wenzake .Rekebisha kwanza jina, sio Elvis Musiba, Musiba huyu ni lile jinga lenye jina la Musiba, ambaye ni mwandishi wa habari kilaza fulani hivi, kanjanja na pia ni kichaa kabisa, ila haokoti makopo! Kichaa mmoja, anaweweseka sana juu ya Zitto, kamtungia uongo, umebuma, Zitto tuko nae hapa Dodoma,
Elvis ni yule alikuwa mwandishi wa vitabu, Kufa na Kupona, Njama, Kikosi cha Kisasi etc.
Ila masikini Membe, nilimshauri kitu Bernard Membe usibishane na Maaskofu, samehe tu. Yule ni kichaa anastahili msamaha, hakujua atendalo
P
Hakuna kesi si kwa sababu haki imetendeka bali kwa sababu ya uhuni wa kubadili kumbukumbu za mwenendo wa kesi. Nadhani ungesimama katika ukweli huu ningeheshimu hoja zako zaidi.Kama nilivyokwambia kuna njia luluki za kutumia ‘loopholes’ zilizojitokeza baada ya kifo cha mdai. Wao wameona inayowafaa na nyepesi kwao.
Waliokuja na hii kanuni Actio personalis moritur cum from ‘medieval times’ awakuwa wapuuzi na ikaweza kudumu mpaka leo ujue ishajaribiwa sana.
Mimi sio interested party, goodluck kama wewe ni sehemu ya mdai; was just offering food for thought. Uhalisia ni kwamba hakuna tena kesi hapo.
Kuniita mimi chawa, sio kunitendea haki!, kosa langu kuu ni kuwa mkweli daima, kwenye mazuri napongeza, kwenye maovu nakemea, na kwenye mapungufu, nashauri.Yule jamaa aliwakera nyie chawa wenzake .
Upo sahihi mkuu. Binafsi naona huu ni mchezo wa kupindua kete baada ya mshtaki kuwa deceased!Makosa ya technicalities inabidi yawe uliyofanya wewe ila hili la kiapo mbona kama ni kosa la Mahakama yenyewe kama kweli limefanyika? Inakuwaje Majaji wakaendelea kusikiliza ushahidi kama Mashahidi hawakutoa kiapo?
Kwahiyo muhimu uwe unaujua ujanja ujanja wa kuhepa na kukabia kuanzia juu ??!Hapo kimahakama ameshashindwa
Mahakama naona inacheleweshaga sana haki bora kungekua tu ADR kama arbitration kwa wingi watu wangepata haki sana hasa kesi za madai.Hizo ni technicalities, na ndizo zinazoshinda kesi. Unaweza ukawa na haki, lakini ukashindwa kwenye technicalities.
Asilimia kubwa, hawajala kiapo, kama walikula kiapo basi watakuwa na ushahidi wa stenographer. Kama ni affidavits unakuwa na copies zako za affidavit.
Kwa nchi zingine, proceedings zote ukipata hukumu unaruhusiwa kuomba copies zote, za records zote.
Kwakweli ni shida !Mahakama naona inacheleweshaga sana haki bora kungekua tu ADR kama arbitration kwa wingi watu wangepata haki sana hasa kesi za madai.
Unakuta mtu kakutapeli mamilioni ya kiwanja hewa alafu mahakamani unashindwa kisa tu technicality kama ya kiapo sijui kidhibiti hakikuandikishwa n.k insanity. Na bado kesi huchukua miaka na ukishinda anakata rufaa, na bado ukishinda tena halipi hadi uende mahakamani kukazia hukumu.
Insanity