Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Ndohivo no way!!!
Ndohivo no way!!!
Poleni ndugu ,jamaa na marafiki.Mtu amehangaika kusoma tangu chekechea, akakaza buti mpaka Masters, akapata kazi yake, akajenga maisha yake, akaoa… halafu anaambiwa: “Tuachane, tugawane mali.”
Hivi mnajua maumivu ya mtu aliyepambana miaka yote kujenga maisha yake?
Mwingine alianza kuhangaika akiwa na miaka 15. Akatoka kijijini kwao, akaanza kuuza vitu vidogo, akapambana siku hadi siku. alivumilia kuchekwa ni mbahili, Polepole akafungua duka, akajenga biashara, akapata magari, viwanja na mali nyingine.
Halafu baada ya miaka yote hiyo anasikia tu: “Mali zigawanywe.”
Hivi mnajua inauma kiasi gani kuona mtu anataka sehemu ya kile ambacho hakushiriki kukijenga?
wapo waliopambana kwenye migodi miaka nenda rudi. Jua, vumbi, njaa, kukata tamaa na risk kila siku. Miaka inapita bila mafanikio. Ghafla mambo yakatiki akaanza kununua assets na maisha yakaanza kubadilika.
Lakini mtu ambaye hakuwahi kujua joto la mgodini, hakuwahi kujua mateso ya kutafuta madini wala kujibonda vidole, anapotokea wakati wa mwisho anasema: “Tugawane.”
Dah huyu jamaa siangetuachia asee unaua mtoto mkalo hivi kweli 😢😢😢😢😓😓😓😓😓
Mental illness is real.Dah huyu jamaa siangetuachia asee unaua mtoto mkalo hivi kweli 😢😢😢😢😓😓😓😓😓
Unajua maumivu ya kukaa ndani ya kuta nne za jela maisha yako yote?Mtu amehangaika kusoma tangu chekechea, akakaza buti mpaka Masters, akapata kazi yake, akajenga maisha yake, akaoa… halafu anaambiwa: “Tuachane, tugawane mali.”
Hivi mnajua maumivu ya mtu aliyepambana miaka yote kujenga maisha yake?
Mwingine alianza kuhangaika akiwa na miaka 15. Akatoka kijijini kwao, akaanza kuuza vitu vidogo, akapambana siku hadi siku. alivumilia kuchekwa ni mbahili, Polepole akafungua duka, akajenga biashara, akapata magari, viwanja na mali nyingine.
Halafu baada ya miaka yote hiyo anasikia tu: “Mali zigawanywe.”
Hivi mnajua inauma kiasi gani kuona mtu anataka sehemu ya kile ambacho hakushiriki kukijenga?
wapo waliopambana kwenye migodi miaka nenda rudi. Jua, vumbi, njaa, kukata tamaa na risk kila siku. Miaka inapita bila mafanikio. Ghafla mambo yakatiki akaanza kununua assets na maisha yakaanza kubadilika.
Lakini mtu ambaye hakuwahi kujua joto la mgodini, hakuwahi kujua mateso ya kutafuta madini wala kujibonda vidole, anapotokea wakati wa mwisho anasema: “Tugawane.”
Ulishawahi kujiuliza, Je wakati una zaliwa ulikuja na nini hapa duniani? Na je wale wanaofariki huzikwa na mali zao?Mtu amehangaika kusoma tangu chekechea, akakaza buti mpaka Masters, akapata kazi yake, akajenga maisha yake, akaoa… halafu anaambiwa: “Tuachane, tugawane mali.”
Hivi mnajua maumivu ya mtu aliyepambana miaka yote kujenga maisha yake?
Mwingine alianza kuhangaika akiwa na miaka 15. Akatoka kijijini kwao, akaanza kuuza vitu vidogo, akapambana siku hadi siku. alivumilia kuchekwa ni mbahili, Polepole akafungua duka, akajenga biashara, akapata magari, viwanja na mali nyingine.
Halafu baada ya miaka yote hiyo anasikia tu: “Mali zigawanywe.”
Hivi mnajua inauma kiasi gani kuona mtu anataka sehemu ya kile ambacho hakushiriki kukijenga?
wapo waliopambana kwenye migodi miaka nenda rudi. Jua, vumbi, njaa, kukata tamaa na risk kila siku. Miaka inapita bila mafanikio. Ghafla mambo yakatiki akaanza kununua assets na maisha yakaanza kubadilika.
Lakini mtu ambaye hakuwahi kujua joto la mgodini, hakuwahi kujua mateso ya kutafuta madini wala kujibonda vidole, anapotokea wakati wa mwisho anasema: “Tugawane.”
Mwanamke mwenyewe huyo inaonekana alikuwa muongeaji, hawa ndo wanawake ikitokea ugomv kidogo yeye ndo anautawala ugomvi kwa kuongea!
Wee mama wewe!!! Huko kwenye mahakama za talaka kuna rafu za kishetani!Hakuna mwanamke anayekurupuka kudai mali ambazo hajashiriki kuzitafuta..!!
Na hakuna mwanamke anayelipuka ghafla kudai mali kama ndani mna upendo na kujaliana..!!
Acheni kutia huruma, kama unamzingua mwanamke ulitaka afanye nini??
Asidai jasho lake kisa wewe mwanaume?
Acheni hizo..!!
Watoto zenu wa kike mliowasomesha wakapata kazi na kuolewa. Halafu usikie ananyanyasika na ana mchango wake katika utafutaji wa hizo mali za mumewe. Utakubali aondoke mikono mitupu??
Na mikosi inahusikaga! Mambo ni mengi, na hayaandikiki yoteMental illness is real.
Lazima kuna chanzo mpaka kufikia hayo, mambo ya wanandoa wanayajua wenyewe..!!Wee mama wewe!!! Huko kwenye mahakama za talaka kuna rafu za kishetani!
Omba yasimkute kijana wako! Narudia tena, omba yasimkute!
Kuna baba hapa, tena mchungaji, ameoa yapata mwaka sasa baada ya mkewe wa kwanza kufariki.
Bibie kaanzisha timbwili, pepo la talaka limenvaa ameenda kudai wagawane mpaka mali za miaka nenda rudi kama ng'ombe kisa tu ameshiriki kuhudumia kidogo.
Kesi ya talaka ni kali kuliko moto wa gesi pale ambapo wachocheaji ni wapinzani wa mwanaume kwenye utafutaji. Mahakamani anasimama mama, kwenye mikakati lipo genge la wanufaika.
Talaka inatumiwa na wahuni kumpororomosha mwanaume. Ndio maana makesi karibia yote hufunguliwa na wanawake wenye ndoa zenye mafanikio.
Narudia tena: omba yasimkute kijana wako, tena ukiwa hai na unamtegemea.
Kwanza humu mtandaoni kuna upotoshaji mkubwa sanaHakuna mwanamke anayekurupuka kudai mali ambazo hajashiriki kuzitafuta..!!
Na hakuna mwanamke anayelipuka ghafla kudai mali kama ndani mna upendo na kujaliana..!!
Acheni kutia huruma, kama unamzingua mwanamke ulitaka afanye nini??
Asidai jasho lake kisa wewe mwanaume?
Acheni hizo..!!
Watoto zenu wa kike mliowasomesha wakapata kazi na kuolewa. Halafu usikie ananyanyasika na ana mchango wake katika utafutaji wa hizo mali za mumewe. Utakubali aondoke mikono mitupu??
Kabisa ,ukiwa mpeche mpeche(mpesempese) lazima wachawi wakuroge kukutia uwendawazumi(mental illness).Na mikosi inahusikaga! Mambo ni mengi, na hayaandikiki yote
Hakika ,ukweli mchungu huu.Mwanamke mwenyewe huyo inaonekana alikuwa muongeaji, hawa ndo wanawake ikitokea ugomv kidogo yeye ndo anautawala ugomvi kwa kuongea!
Inawezekana jamaa alitaka suruh lakin mke hayumo, kasimamia msimamo ule ule, jamaa akaona "usinichosho, nisikuchoshe,tusichoshane!"
Ila kuish na mwanamke ni kazi jaman, inahtaj uwe na moyo kama jiwe, kama unahs moyo wako ni lelemama, achana na mawazo ya mwanamke, fanya tu mambo mengne!
TUNGEYAJUAJE KAMA SIO UCHOKONOZI WA MLETA MADA? 😅🎤Kwanza humu mtandaoni kuna upotoshaji mkubwa sana
Pili mwanaume alikuwa marioo eeh ndio Marioo wa kuhudumiwa na huyo mkewe
Tatu mwanaume alikuwa last born pia na mkewe ila bread winner ni mke na kwa asilimia 80 kajenga yeye ile nyumba kiwanja alinunua yeye mwanamke, (alikuwa mfanyakazi voda kitengo kizuri tu) mume akamfanyia figisu akatolewa kazini, hiyo ni baada ya huyo mume kupoteza kazi yake kama banker,
Story imekuwa twisted na ndugu wa mwanaume ikimkandamiza marehemu,
Ni mengi sana yaliyokuwa yakiiandama hii ndoa,
Wivu, uchonganishi, visasi na mali,
Kinachouma zaidi tayari walikuwa wametengana mwanamke alishaondoka kwa zaidi ya miezi 2 akaenda kuishi kwingine kukimbiza roho yake, ila alipoondoka mume nae akaenda kwa mama yake(mama boy) baada ya muda watoto na maid wakampigia mama simu chakula ndani kimeisha, ndo maza kununua mazaga akawapelekea jioni ya 30 September, kwa vile mshua hakuwepo akaona alale then ataamka asubuhi aende mihangaikoni, kumbe mshua kuna mbea alimtonya kuwa wife karudi ndo kutoka moshi usiku kwa usiku kufika na kufanya aliyofanya,
Hadithi ni nyingi hii nimeipata kwa ndugu yake marehemu wa karibu sana
Mambo ya wanandoa wanayajua wanandoa, nilishangaa watu walivyoanza kujudge kuhusu mali. Kisha kumuhusisha mwanamke moja kwa moja kama ndo tatizo bila kujua undani..!!Kwanza humu mtandaoni kuna upotoshaji mkubwa sana
Pili mwanaume alikuwa marioo eeh ndio Marioo wa kuhudumiwa na huyo mkewe
Tatu mwanaume alikuwa last born pia na mkewe ila bread winner ni mke na kwa asilimia 80 kajenga yeye ile nyumba kiwanja alinunua yeye mwanamke, (alikuwa mfanyakazi voda kitengo kizuri tu) mume akamfanyia figisu akatolewa kazini, hiyo ni baada ya huyo mume kupoteza kazi yake kama banker,
Story imekuwa twisted na ndugu wa mwanaume ikimkandamiza marehemu,
Ni mengi sana yaliyokuwa yakiiandama hii ndoa,
Wivu, uchonganishi, visasi na mali,
Kinachouma zaidi tayari walikuwa wametengana mwanamke alishaondoka kwa zaidi ya miezi 2 akaenda kuishi kwingine kukimbiza roho yake, ila alipoondoka mume nae akaenda kwa mama yake(mama boy) baada ya muda watoto na maid wakampigia mama simu chakula ndani kimeisha, ndo maza kununua mazaga akawapelekea jioni ya 30 September, kwa vile mshua hakuwepo akaona alale then ataamka asubuhi aende mihangaikoni, kumbe mshua kuna mbea alimtonya kuwa wife karudi ndo kutoka moshi usiku kwa usiku kufika na kufanya aliyofanya,
Hadithi ni nyingi hii nimeipata kwa ndugu yake marehemu wa karibu sana
Ndo mana wengine wanachelea kuoa kwani kila wakifikiria uwezekano wa baadaye kujakukutana na pasua kichwa wa ivo wanarudi nyuma -wanakimbia mbio. Huwa (nionavyo mimi lakini) hakuna ufidhuli mkubwa kama ule wa Ndugu, Jamaa, Marafiki n.k. kumshinikiza mtu mwanaume eti aoe - wanasahau kwamba kuiishi ndoa katika uhalisia wake sio kama kula tunda kimasihara.Mtu amehangaika kusoma tangu chekechea, akakaza buti mpaka Masters, akapata kazi yake, akajenga maisha yake, akaoa… halafu anaambiwa: “Tuachane, tugawane mali.”