Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 4,090
- 5,248
Yatasemwa mengi sana. Wahenga walisemaga"Hujafa hujaumbika" Hapo ina maana kwamba yale yaliyokuwa hayasemwi /hayazungumzwi kwa uwazi kumhusu mtu aliyekufa, huwa ndo wakati wa kusemwa kwa sababu mhusika hayupo ili aweze kukanusha Tuhuma dhidi yake.I hate to break your bubble
Ila nasikia marehemu mke ndiye mwenye mali sasa sijui kama una la kusema