Hivi mnakumbuka hii?

Hivi mnakumbuka hii?

yna12

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2018
Posts
1,936
Reaction score
2,317
Kuna katukio kalikua kanatokea sana enzi za shule ya msingi

Aisee maana hakuna kitu kilikua kinauma kama umetoka darasani kwako ukaenda darasa lingine kuongea na rafiki zako au kupiga umbea,alafu ghafla unasikia "HAYA DARASA ZIMA LALA CHINI..MONITOR KANILETEE FIMBO KWENYE MEZA YANGU"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] utatamani uwe nzi viboko visikupate..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shule niliyosoma ndio ilinifanya niwe nunda
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo ndo utajua kwann maharage mboga ya taifaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaa aiseee
 
Shule kuna matukio ya kufurahisha sana.

Na ile ya kuweka mandazi kwenye sport ile tuliyokuwa tunaweka madaftari kama begi[emoji23][emoji23]

Watoto wa zama hizi hawajui haya wanajua mabegi tu

Bila kusahau kengele ya saa nne kukimbilia kununua bagia [emoji28][emoji28]
 
yani hawajui kabisa...na hakuna kengele niliyokua naipenda kama kengele ya saa nne..nilikuaga makini acha tu..ivi unakumbuka zile za kupigana kila ijumaa?
 
Nakumbuka hiyo yani darasa linagawanyika makundi mawili wanawapampi watu wawili mmoja kutoka kila kundi [emoji23][emoji23][emoji23] hiyo lazima apigwe mtu wanachora mstari eti mbabe anaruka kumfate mnyonge doh [emoji23][emoji23] watoto wa sikuhizi hawajui haya hata Nage hawaijui
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaa aiseee
Kuna siku nilienda darasa la 6 mm nikiwa la 5 kwenda kupeleka barua za kirafiki jaman ghafla mkuu huyoo akasema wote piga magotii

Ila nilkuwa dawat la pili kutoka mbele mkuu akaamua kuanzia nyuma kuchapa nilitokaaa nduki nashangaa nipo vyoo vya wanafunzi sjui huko nyuma ilikuaje nasikia kesi ikahamia kwa wanafunzi wakala kichapo cha kumkaribisha mwanafunz
 
Naam hapa ndo utajua kati ya mamba na kiboko na kiboko...
 
Kuna siku nilienda darasa la 6 mm nikiwa la 5 kwenda kupeleka barua za kirafiki jaman ghafla mkuu huyoo akasema wote piga magotii

Ila nilkuwa dawat la pili kutoka mbele mkuu akaamua kuanzia nyuma kuchapa nilitokaaa nduki nashangaa nipo vyoo vya wanafunzi sjui huko nyuma ilikuaje nasikia kesi ikahamia kwa wanafunzi wakala kichapo cha kumkaribisha mwanafunz
[emoji23][emoji23] uliwaponza wenzio
 
Back
Top Bottom