Hivi mnakumbuka hii?

Hivi mnakumbuka hii?

Kuna katukio kalikua kanatokea sana enzi za shule ya msingi

Aisee maana hakuna kitu kilikua kinauma kama umetoka darasani kwako ukaenda darasa lingine kuongea na rafiki zako au kupiga umbea,alafu ghafla unasikia "HAYA DARASA ZIMA LALA CHINI..MONITOR KANILETEE FIMBO KWENYE MEZA YANGU"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] utatamani uwe nzi viboko visikupate..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ahahhaah halaf ukitaka kutoka mwalimu anakurudisha ukimuelezea sio wa darasa hilo anakuuliza ulikuja kufanyaje humu na viboko juu
 
Shule kuna matukio ya kufurahisha sana.

Na ile ya kuweka mandazi kwenye sport ile tuliyokuwa tunaweka madaftari kama begi[emoji23][emoji23]

Watoto wa zama hizi hawajui haya wanajua mabegi tu

Bila kusahau kengele ya saa nne kukimbilia kununua bagia [emoji28][emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama hii
20180405_102510.jpg

Na hapo usikute imeanza kuchoka. Inajikunja kama mzee
 
Hapo ndo zile purukushani za kujaladia madaftari kwenye sketi na kaptula zinaanza huhuhuhuhu aiseee alafu mnachapwa mikononi
 
Hapo ndo zile purukushani za kujaladia madaftari kwenye sketi na kaptula zinaanza huhuhuhuhu aiseee alafu mnachapwa mikononi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Walimu mbona wamekoma? Mimi Mwalimu kunichapa alikuwa aniombe Na nijipangie fimbo za kuchapwa.
Nilikuwa nunda kweli kweli.
Kuna siku niliandika kibao kwa sign artist "SHULE IMEUZWA NA JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA, RUDINI NYUMBANI MPAKA MTAKAPO PANGIWA SHULE NYINGINE ZA WAZAZI BARUA MTATUMIWA KWA POSTA"

Nikaenda shule mapema sana, nikabandika bango hilo maintenance.
Wanafunzi walirudi nyumbani Na ikaleta sintofahamu kubwa sana.
Ilichukua miezi kadhaa kuwa ni mimi ndiye niliye Fanya hujuma hiyo
Hahaahahah walikufanyaje
 
Monita unaleta viboko ukijua utasamehewa kumbe unachezea vya kutosha tena anakuanzia
 
Watanifanya nini sasa? Darasani nilikuwa mkali Na nilikuwa nawaambia walimu mimi sistahili kusoma shule yao iko below my levels, Na nilikuwa nawaomba wanufukuze shule
Duh Bujibuji ulikuwa balaa.
Nakumbuka nipo darasa la sita tukapoteza kitabu kimoja tukaambiwa tuchange sh 100 kila mwanafunzi tununue kitabu. Siku ya kwanza nikaikosa 100 mwalimu akatuita mbele.
Yaan kuna watu wanajua kupiga hasa left handed, fimbo moja tu unahisi kifo nilipigwa nne sikwenda tena shule mpaka nilipoipata hela.
 
Pole sana
 
Walimu mbona wamekoma? Mimi Mwalimu kunichapa alikuwa aniombe Na nijipangie fimbo za kuchapwa.
Nilikuwa nunda kweli kweli.
Kuna siku niliandika kibao kwa sign artist "SHULE IMEUZWA NA JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA, RUDINI NYUMBANI MPAKA MTAKAPO PANGIWA SHULE NYINGINE ZA WAZAZI BARUA MTATUMIWA KWA POSTA"

Nikaenda shule mapema sana, nikabandika bango hilo maintenance.
Wanafunzi walirudi nyumbani Na ikaleta sintofahamu kubwa sana.
Ilichukua miezi kadhaa kuwa ni mimi ndiye niliye Fanya hujuma hiyo
Duu mkuu ulikuwa nunda kwelikweli
 
Hamn tukio nakumbuka kama siku moja namshikaji tukaenda toilet baada kumwaga tukakaa pemben kidogo tunapiga stories maana tumechoka kukaa darasani Mwl Mkuu akatuita kwamba atutume center tunaenda mbio kwa furaha kufika staff tukaambia tukashikishwa viti nakula mboko za kutosha roho inaniumaga mpaka maana nilikuwa hunichapi kizembe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na ilikuwa inapendeza sana, lile darasa uliloenda kupiga umbea kuna ki girl au boy chako, na anakujua unavoogopa fimbo!
Aiseee unaona aibu kuchapwaaaa
 
Back
Top Bottom