Hivi mnakumbuka hii?

Hivi mnakumbuka hii?

Au mnapewa adhabu ya kunyanyua miguu juu kichwa chin, miguu inakuwa ukutani,adhabu hii ilikuwa inawatesa zaidi wasichana maana wasipobana sketi zinawafunika kichwa halafu ikulu zinabaki wazi loh na hapo ndio unapoona chupi zenye viraka jamani.
 
Na wewe waonekana ulikua kakorofi
Walimu mbona wamekoma? Mimi Mwalimu kunichapa alikuwa aniombe Na nijipangie fimbo za kuchapwa.
Nilikuwa nunda kweli kweli.
Kuna siku niliandika kibao kwa sign artist "SHULE IMEUZWA NA JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA, RUDINI NYUMBANI MPAKA MTAKAPO PANGIWA SHULE NYINGINE ZA WAZAZI BARUA MTATUMIWA KWA POSTA"

Nikaenda shule mapema sana, nikabandika bango hilo maintenance.
Wanafunzi walirudi nyumbani Na ikaleta sintofahamu kubwa sana.
Ilichukua miezi kadhaa kuwa ni mimi ndiye niliye Fanya hujuma hiyo
 
Kuna katukio kalikua kanatokea sana enzi za shule ya msingi

Aisee maana hakuna kitu kilikua kinauma kama umetoka darasani kwako ukaenda darasa lingine kuongea na rafiki zako au kupiga umbea,alafu ghafla unasikia "HAYA DARASA ZIMA LALA CHINI..MONITOR KANILETEE FIMBO KWENYE MEZA YANGU"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] utatamani uwe nzi viboko visikupate..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Aseeh nimekumbuka mbali sana au upo ubaoni unaandika ujinga ujinga na kuact sauti ya mwl. ghafla huuyoo mwl. Mlangoni hapo utaanza kulia mwenyewe ghafla kabla ya adhabu [emoji16] [emoji16] [emoji16] .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Walimu mbona wamekoma? Mimi Mwalimu kunichapa alikuwa aniombe Na nijipangie fimbo za kuchapwa.
Nilikuwa nunda kweli kweli.
Kuna siku niliandika kibao kwa sign artist "SHULE IMEUZWA NA JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA, RUDINI NYUMBANI MPAKA MTAKAPO PANGIWA SHULE NYINGINE ZA WAZAZI BARUA MTATUMIWA KWA POSTA"

Nikaenda shule mapema sana, nikabandika bango hilo maintenance.
Wanafunzi walirudi nyumbani Na ikaleta sintofahamu kubwa sana.
Ilichukua miezi kadhaa kuwa ni mimi ndiye niliye Fanya hujuma hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani wewe too much..khaaaa!!
 
Au mnapewa adhabu ya kunyanyua miguu juu kichwa chin, miguu inakuwa ukutani,adhabu hii ilikuwa inawatesa zaidi wasichana maana wasipobana sketi zinawafunika kichwa halafu ikulu zinabaki wazi loh na hapo ndio unapoona chupi zenye viraka jamani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hatari mkuu
Nakumbuka enzi zile kulikua na mwalimu mmoja alikua na mdomo kama lile tangazo la chai jaba..sisi tena wanafunzi tukamtunga jina la mwalimu Chaichaba ndio likawa jina lake kuu haswa siku moja akamtuma mwanafunzi mwenzetu atuite nakumbuka ulikua wakati wa kufanya mitihani..sasa si wajua kipindi kile tunakua ile ovyoovyo wenye kucheza mpira wenye kucheka mdako au rede..yule mwanafunzi akaambiwa ita wanafunzi wenzako niwape mitihani yenu...yule mwenzetu asijisahau nini! "Nyie mnaitwa na mwalimu chaijaba" mbaya zaidi huyo mwalimu hakua mbali na yule mwanafunzi kwahiyo alisikia alichokiongea yule mwanafunzi..kengele ya mstarini ikapigwa..KILICHOFUATA HAPO..[emoji23][emoji23]ngoja ninywe chai nitakuja kukuambia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo ndo utajua kwann maharage mboga ya taifaaa
Na ilikuwa inapendeza sana, lile darasa uliloenda kupiga umbea kuna ki girl au boy chako, na anakujua unavoogopa fimbo!
 
Nakumbuka enzi zile kulikua na mwalimu mmoja alikua na mdomo kama lile tangazo la chai jaba..sisi tena wanafunzi tukamtunga jina la mwalimu Chaichaba ndio likawa jina lake kuu haswa siku moja akamtuma mwanafunzi mwenzetu atuite nakumbuka ulikua wakati wa kufanya mitihani..sasa si wajua kipindi kile tunakua ile ovyoovyo wenye kucheza mpira wenye kucheka mdako au rede..yule mwanafunzi akaambiwa ita wanafunzi wenzako niwape mitihani yenu...yule mwenzetu asijisahau nini! "Nyie mnaitwa na mwalimu chaijaba" mbaya zaidi huyo mwalimu hakua mbali na yule mwanafunzi kwahiyo alisikia alichokiongea yule mwanafunzi..kengele ya mstarini ikapigwa..KILICHOFUATA HAPO..[emoji23][emoji23]ngoja ninywe chai nitakuja kukuambia
Ha ha ha ha ha tena unywe chai jaba kilele cha ubora na ni chaguo la watanzania teh teh nakusubiri kwa hamu mkuu.
 
Walimu mbona wamekoma? Mimi Mwalimu kunichapa alikuwa aniombe Na nijipangie fimbo za kuchapwa.
Nilikuwa nunda kweli kweli.
Kuna siku niliandika kibao kwa sign artist "SHULE IMEUZWA NA JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA, RUDINI NYUMBANI MPAKA MTAKAPO PANGIWA SHULE NYINGINE ZA WAZAZI BARUA MTATUMIWA KWA POSTA"

Nikaenda shule mapema sana, nikabandika bango hilo maintenance.
Wanafunzi walirudi nyumbani Na ikaleta sintofahamu kubwa sana.
Ilichukua miezi kadhaa kuwa ni mimi ndiye niliye Fanya hujuma hiyo
Ulikuwa noma! Mkuu mwanao akifanya hayo leo utamfanyaje?
 
Wengn stiki tulikuwa hatupigwi....unapewa slasher unaenda kufyeka....
 
Ha ha ha ha ha tena unywe chai jaba kilele cha ubora na ni chaguo la watanzania teh teh nakusubiri kwa hamu mkuu.
Tulipigwa na staff nzima..ile siku tulitandikwa jamani sitaki kuisahau
 
Nakumbuka kuna siku nilienda darasa B wakat mm nasoma A,nikafanya fujo sana Mara paap teacher kaibuka,akasema token mbele wote na mpige magoti huku akiwa anachukua zigo la fimbo,mie nilipotok mbele nkakaa karibu na mlango ile teacher kashangaa me nkatoka faster,bas jamaa walichezeshewa kinoma wakat mfanya fujo mkuu nmejichenga,walikua mboko za haja darasa lote basi wakanimaind knoma ila walikua hawawez kunfny kitu co sababu ya ubabe wng ila nlikua famous sana na mtu wa watu
 
Back
Top Bottom