Hivi mnakumbuka hii?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ahahhaah halaf ukitaka kutoka mwalimu anakurudisha ukimuelezea sio wa darasa hilo anakuuliza ulikuja kufanyaje humu na viboko juu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama hii
Na hapo usikute imeanza kuchoka. Inajikunja kama mzee
 
Hapo ndo zile purukushani za kujaladia madaftari kwenye sketi na kaptula zinaanza huhuhuhuhu aiseee alafu mnachapwa mikononi
 
Hapo ndo zile purukushani za kujaladia madaftari kwenye sketi na kaptula zinaanza huhuhuhuhu aiseee alafu mnachapwa mikononi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaahahah walikufanyaje
 
Monita unaleta viboko ukijua utasamehewa kumbe unachezea vya kutosha tena anakuanzia
 
Watanifanya nini sasa? Darasani nilikuwa mkali Na nilikuwa nawaambia walimu mimi sistahili kusoma shule yao iko below my levels, Na nilikuwa nawaomba wanufukuze shule
Duh Bujibuji ulikuwa balaa.
Nakumbuka nipo darasa la sita tukapoteza kitabu kimoja tukaambiwa tuchange sh 100 kila mwanafunzi tununue kitabu. Siku ya kwanza nikaikosa 100 mwalimu akatuita mbele.
Yaan kuna watu wanajua kupiga hasa left handed, fimbo moja tu unahisi kifo nilipigwa nne sikwenda tena shule mpaka nilipoipata hela.
 
Pole sana
 
Duu mkuu ulikuwa nunda kwelikweli
 
Hamn tukio nakumbuka kama siku moja namshikaji tukaenda toilet baada kumwaga tukakaa pemben kidogo tunapiga stories maana tumechoka kukaa darasani Mwl Mkuu akatuita kwamba atutume center tunaenda mbio kwa furaha kufika staff tukaambia tukashikishwa viti nakula mboko za kutosha roho inaniumaga mpaka maana nilikuwa hunichapi kizembe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na ilikuwa inapendeza sana, lile darasa uliloenda kupiga umbea kuna ki girl au boy chako, na anakujua unavoogopa fimbo!
Aiseee unaona aibu kuchapwaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…