KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Ifike mahali mfumbuke macho nduguzanguni!, mnacholishwa ni ulaghai tupu!.
Hizi dini ni moja ya project za kilaghai kuwahi kutokea katika dunia yetu!.
Hivi unawezaje kuamini ukifa Kama unadhambi ati unachomwa moto!!😂
Sasa kwa faida ya nani sasa?
Kutokujua ulipotoka ndipo ulipotoka, kwasababu ulipotoka hakukuwa na ufahamu, na maana ya kifo ni kurudi kule ambako hakuna ufahamu.
It's crazy kufikiri kuna muujiza utakujia kuunyoosha mguu wako uliopinda!,hayo mamlaka yanamaarifa yake ila sio kimiujiza!.
Crazily ati kuurudisha uhai kwa mtu aliekufa..🤣🤣
Serious?
Unawezaje kuamini kufanya muujiza kwa imani?
Ati ukiwa na imani Kama chembe ya haradani unaweza kuuambia mlima ng'oka na ukajitupe baharini!.
Tupo watu billion 7 sahivi duniani hivi amekosekana hata mmoja mwenye hiyo imani ya kufanya hata hivyo kweli..?😅
Wakati uliopita watu walikuwa wachache na unaambiwa imeandikwa watu waliponya watu na walifufua watu!,Leo ishindikane nini?
Ndugu na jamaa zangu mnapigwa tena mnapigwa na vitu vizito kichwani!, hebu fumbukeni macho mnaendeshwa na hizi dini mmekuwa watumwa!.. ati watu hawaziki Kama ulikuwa sio muhuzuriaji kwenye mambo yao, wakati huohuo kwenye vitabu vyao imeandikwa bwana ndie mhukumu wa haki!.
Hivi mnaona ninachokiona au wenzangu mmeamua kufumba macho?
Kila jambo litaishia hapahapa duniani, ukifa tutakufukia utaoza huna chochote cha kumbukumbu Wala kuhisi chochote.
Wao wanajua ubongo wa mwanadamu unavyofanya kazi ndio maana wanajua kuuchezea.. mnapigwa ndugu zanguni.