Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka sana ule mfano wako wa kisa cha watoto mapacha tumboni wakiulizana maswali na kutafakari mambo mazito lakini binadamu amezidi viumbe wote kwa ubishi.Hahahaha
Usijidanganyike kwamba utaishi maisha ambayo hujajipa mwenyewe halafu mwisho wa siku usiwe na mahali pa kuwajibika. Deal na Mungu,Achana na Dini.Ifike mahali mfumbuke macho nduguzanguni!, mnacholishwa ni ulaghai tupu!.
Hizi dini ni moja ya project za kilaghai kuwahi kutokea katika dunia yetu!.
Hivi unawezaje kuamini ukifa Kama unadhambi ati unachomwa moto!![emoji23]
Sasa kwa faida ya nani sasa?
Kutokujua ulipotoka ndipo ulipotoka, kwasababu ulipotoka hakukuwa na ufahamu, na maana ya kifo ni kurudi kule ambako hakuna ufahamu.
It's crazy kufikiri kuna muujiza utakujia kuunyoosha mguu wako uliopinda!,hayo mamlaka yanamaarifa yake ila sio kimiujiza!.
Crazily ati kuurudisha uhai kwa mtu aliekufa..[emoji1787][emoji1787]
Serious?
Unawezaje kuamini kufanya muujiza kwa imani?
Ati ukiwa na imani Kama chembe ya haradani unaweza kuuambia mlima ng'oka na ukajitupe baharini!.
Tupo watu billion 7 sahivi duniani hivi amekosekana hata mmoja mwenye hiyo imani ya kufanya hata hivyo kweli..?[emoji28]
Wakati uliopita watu walikuwa wachache na unaambiwa imeandikwa watu waliponya watu na walifufua watu!,Leo ishindikane nini?
Ndugu na jamaa zangu mnapigwa tena mnapigwa na vitu vizito kichwani!, hebu fumbukeni macho mnaendeshwa na hizi dini mmekuwa watumwa!.. ati watu hawaziki Kama ulikuwa sio muhuzuriaji kwenye mambo yao, wakati huohuo kwenye vitabu vyao imeandikwa bwana ndie mhukumu wa haki!.
Hivi mnaona ninachokiona au wenzangu mmeamua kufumba macho?
Kila jambo litaishia hapahapa duniani, ukifa tutakufukia utaoza huna chochote cha kumbukumbu Wala kuhisi chochote.
Wao wanajua ubongo wa mwanadamu unavyofanya kazi ndio maana wanajua kuuchezea.. mnapigwa ndugu zanguni.
Ulipoona wameandika ukiwa na imani unaweza kuhamisha milima ulijua ni milima kama mlima Kilimanjaro?π Nyie watu bhana!
Kuna watu wanapeta sana wakati wamefanya uovu mwingi na mkubwa sana. Infact they die good deaths, not the traumatic deaths they caused others eg. Serial killers.Usijidanganyike kwamba utaishi maisha ambayo hujajipa mwenyewe halafu mwisho wa siku usiwe na mahali pa kuwajibika. Deal na Mungu,Achana na Dini.
Tuache tu tuendeshwe, kwani wewe kinakuuma nini?.Mimi huwezi kunitoa kwenye Imani yangu.Ifike mahali mfumbuke macho nduguzanguni!, mnacholishwa ni ulaghai tupu!.
Hizi dini ni moja ya project za kilaghai kuwahi kutokea katika dunia yetu!.
Hivi unawezaje kuamini ukifa Kama unadhambi ati unachomwa moto!![emoji23]
Sasa kwa faida ya nani sasa?
Kutokujua ulipotoka ndipo ulipotoka, kwasababu ulipotoka hakukuwa na ufahamu, na maana ya kifo ni kurudi kule ambako hakuna ufahamu.
It's crazy kufikiri kuna muujiza utakujia kuunyoosha mguu wako uliopinda!,hayo mamlaka yanamaarifa yake ila sio kimiujiza!.
Crazily ati kuurudisha uhai kwa mtu aliekufa..[emoji1787][emoji1787]
Serious?
Unawezaje kuamini kufanya muujiza kwa imani?
Ati ukiwa na imani Kama chembe ya haradani unaweza kuuambia mlima ng'oka na ukajitupe baharini!.
Tupo watu billion 7 sahivi duniani hivi amekosekana hata mmoja mwenye hiyo imani ya kufanya hata hivyo kweli..?[emoji28]
Wakati uliopita watu walikuwa wachache na unaambiwa imeandikwa watu waliponya watu na walifufua watu!,Leo ishindikane nini?
Ndugu na jamaa zangu mnapigwa tena mnapigwa na vitu vizito kichwani!, hebu fumbukeni macho mnaendeshwa na hizi dini mmekuwa watumwa!.. ati watu hawaziki Kama ulikuwa sio muhuzuriaji kwenye mambo yao, wakati huohuo kwenye vitabu vyao imeandikwa bwana ndie mhukumu wa haki!.
Hivi mnaona ninachokiona au wenzangu mmeamua kufumba macho?
Kila jambo litaishia hapahapa duniani, ukifa tutakufukia utaoza huna chochote cha kumbukumbu Wala kuhisi chochote.
Wao wanajua ubongo wa mwanadamu unavyofanya kazi ndio maana wanajua kuuchezea.. mnapigwa ndugu zanguni.
Halafu hata mimi huwa najiuliza kwanini ibilisi atupwe duniani kutusumbua??kwanini Mungu asimwadhibu huko huko mbinguni mpaka aletwe duniani kutusumbua hivi??Kwanini yeye asikae nae huko huko kama ni kumfunga amfunge huko huko mi nnaona kuna ukweli hapa duniani tunapigwa sana aisee.
Kwenda mbali wewe mwandishi uchwara, sio lazima kila mtu aamini unavyo waza wewe. Shwaiiin
Kweli kabisa ,Dunia haijafikia usiriaz kiasi cha kuona dini ni upuuzi bado kuna mambo na upuuzi mwingi unaoendelea. Hata mimi naamini imani yangu hainiidhuru wala kuniathiri kivyovyote.Tuache tu tuendeshwe, kwani wewe kinakuuma nini?.Mimi huwezi kunitoa kwenye Imani yangu.
Laiti kama ufahamu ukikurudia utapenda kutup tena ushuhuda.Ifike mahali mfumbuke macho nduguzanguni!, mnacholishwa ni ulaghai tupu!.
Hizi dini ni moja ya project za kilaghai kuwahi kutokea katika dunia yetu!.
Hivi unawezaje kuamini ukifa Kama unadhambi ati unachomwa moto!![emoji23]
Sasa kwa faida ya nani sasa?
Kutokujua ulipotoka ndipo ulipotoka, kwasababu ulipotoka hakukuwa na ufahamu, na maana ya kifo ni kurudi kule ambako hakuna ufahamu.
It's crazy kufikiri kuna muujiza utakujia kuunyoosha mguu wako uliopinda!,hayo mamlaka yanamaarifa yake ila sio kimiujiza!.
Crazily ati kuurudisha uhai kwa mtu aliekufa..[emoji1787][emoji1787]
Serious?
Unawezaje kuamini kufanya muujiza kwa imani?
Ati ukiwa na imani Kama chembe ya haradani unaweza kuuambia mlima ng'oka na ukajitupe baharini!.
Tupo watu billion 7 sahivi duniani hivi amekosekana hata mmoja mwenye hiyo imani ya kufanya hata hivyo kweli..?[emoji28]
Wakati uliopita watu walikuwa wachache na unaambiwa imeandikwa watu waliponya watu na walifufua watu!,Leo ishindikane nini?
Ndugu na jamaa zangu mnapigwa tena mnapigwa na vitu vizito kichwani!, hebu fumbukeni macho mnaendeshwa na hizi dini mmekuwa watumwa!.. ati watu hawaziki Kama ulikuwa sio muhuzuriaji kwenye mambo yao, wakati huohuo kwenye vitabu vyao imeandikwa bwana ndie mhukumu wa haki!.
Hivi mnaona ninachokiona au wenzangu mmeamua kufumba macho?
Kila jambo litaishia hapahapa duniani, ukifa tutakufukia utaoza huna chochote cha kumbukumbu Wala kuhisi chochote.
Wao wanajua ubongo wa mwanadamu unavyofanya kazi ndio maana wanajua kuuchezea.. mnapigwa ndugu zanguni.
Tatizo umepewa elimu na wasiokuwa na elimu,kalibu upande wa pili wa Uisilamu,halafu hayo yote unayouliza yasiyokuwa na majibu utapata majibu yake.Ifike mahali mfumbuke macho nduguzanguni!, mnacholishwa ni ulaghai tupu!.
Hizi dini ni moja ya project za kilaghai kuwahi kutokea katika dunia yetu!.
Hivi unawezaje kuamini ukifa Kama unadhambi ati unachomwa moto!!π
Sasa kwa faida ya nani sasa?
Kutokujua ulipotoka ndipo ulipotoka, kwasababu ulipotoka hakukuwa na ufahamu, na maana ya kifo ni kurudi kule ambako hakuna ufahamu.
It's crazy kufikiri kuna muujiza utakujia kuunyoosha mguu wako uliopinda!,hayo mamlaka yanamaarifa yake ila sio kimiujiza!.
Crazily ati kuurudisha uhai kwa mtu aliekufa..π€£π€£
Serious?
Unawezaje kuamini kufanya muujiza kwa imani?
Ati ukiwa na imani Kama chembe ya haradani unaweza kuuambia mlima ng'oka na ukajitupe baharini!.
Tupo watu billion 7 sahivi duniani hivi amekosekana hata mmoja mwenye hiyo imani ya kufanya hata hivyo kweli..?π
Wakati uliopita watu walikuwa wachache na unaambiwa imeandikwa watu waliponya watu na walifufua watu!,Leo ishindikane nini?
Ndugu na jamaa zangu mnapigwa tena mnapigwa na vitu vizito kichwani!, hebu fumbukeni macho mnaendeshwa na hizi dini mmekuwa watumwa!.. ati watu hawaziki Kama ulikuwa sio muhuzuriaji kwenye mambo yao, wakati huohuo kwenye vitabu vyao imeandikwa bwana ndie mhukumu wa haki!.
Hivi mnaona ninachokiona au wenzangu mmeamua kufumba macho?
Kila jambo litaishia hapahapa duniani, ukifa tutakufukia utaoza huna chochote cha kumbukumbu Wala kuhisi chochote.
Wao wanajua ubongo wa mwanadamu unavyofanya kazi ndio maana wanajua kuuchezea.. mnapigwa ndugu zanguni.
Laiti kama ufahamu ukikurudia utapenda kutup tena ushuhuda.
Huna Elimu youote kuhusu Mtu akiwa hai na Akishakufa...uko Empty...
Mtu akifa kinachozikwa ni Mwili na siyo Roho yake...
Mwili ni Udongo na,Udongoni utarudi.
Roho iliyotenda maovu itateseka tu...kwa kuwa Roho haifi.
Umeshasikia mtu akisema ...naumwa Roho?
Kuumwa Roho ni Kuteseka...hili humkuta mtu akiwa Hai...
Sasa ukifa..matendo yako yanashuhudiwa na watu...kama ni mtenda maovu utateseka mara Elfu zaidi...
Na pia iko KARMA...Laana...huu ni mfululizo wa mambo yanayotokea katika maumivu ya Roho wakati fulani...na kumpata mwenyr Roho Mwingine.
Mungu yupo,alikuwepo na atakuwepo milele!
Sasa kwenye baadhi ya dini kuna ulsghai lakini UKWELI UNABAKI KUWA UKWELI.
Yaleyale tuTatizo umepewa elimu na wasiokuwa na elimu,kalibu upande wa pili wa Uisilamu,halafu hayo yote unayouliza yasiyokuwa na majibu utapata majibu yake.
Toka kutungwa mimba mpaka siku yake ya kufa,toka Adamu mpaka kiama,kalibu ndugu yangu upate ukweli
Dah.. Ladha ama tundaHebu onjesha nione..[emoji23]
Siyo yaleyale tatizo binadamu wanaishi kwa kupata ukweli wa upande mmoja,inawezekana hata mimi nilikuwa kama wewe,nilikuwa na maswali mengi kuliko majibu, lakini nimefundishwa ukweli kiasi na mimi naweza kuwafundisha watu ukweli kwa ile elimu ya ukweli ndogo niliyoipataYaleyale tu