Hivi mnaona ninachokiona au nyie ni vipofu?

Hivi mnaona ninachokiona au nyie ni vipofu?

Unatuelewesha au unatufokea?

Mbona kama unalazimisha badala ya kujenga hoja?
 
Tatizo ni pale ambapo mtu anaamini usahihi wa anachokiamini yeye hutokana na makosa ya kile anachokiamini mwenzake.
 
Mwanadamu akishakuwa na hela ya kula ugali, huwa ana fujo sana
 
Nimeishi bila ibada kwa muda mrefu na nimeishi ndani ya ibada hadi sasa kitu nimeona ni amani kubwa sana ndani yangu, nakusihii ishi kwa ibada hutakua na majuto ndani yako, na hakuna faida ya kuishi bila ibada, yote yaliyo mema yanapatikana kwake Mungu na zaidi ya yote hakuna Majuto kuwa na ushirika nae.
 
Back
Top Bottom