Hivi mnaona ninachokiona au nyie ni vipofu?

Usijidanganyike kwamba utaishi maisha ambayo hujajipa mwenyewe halafu mwisho wa siku usiwe na mahali pa kuwajibika. Deal na Mungu,Achana na Dini.
 
By the way everyone is entitled to believe whatever she/he want to believe.

Personal,I believe that God is omnipresent, Omniscient and benevolent.
 
Usijidanganyike kwamba utaishi maisha ambayo hujajipa mwenyewe halafu mwisho wa siku usiwe na mahali pa kuwajibika. Deal na Mungu,Achana na Dini.
Kuna watu wanapeta sana wakati wamefanya uovu mwingi na mkubwa sana. Infact they die good deaths, not the traumatic deaths they caused others eg. Serial killers.

Huwa naona kama tunajipa moyo tu kuhusu hukumu baada ya kifo na karma kwasababu tumeshindwa kupata haki.

Inasikitisha sana kama kweli maisha/existence haina "macho" , yani things just happen following the biological laws and there is no sense of natural justice!

Who designed this!!?
 
Tuache tu tuendeshwe, kwani wewe kinakuuma nini?.Mimi huwezi kunitoa kwenye Imani yangu.
 

Shetani ni roho hasi, fikra Hasi,
Kwenda mbali wewe mwandishi uchwara, sio lazima kila mtu aamini unavyo waza wewe. Shwaiiin

Sipo hapa kumfanya yeyote aamini ninachokiaamini.

Naelezea kuwa, Ni upumbavu mtu kujadili na kuhitimisha mambo asiyo na Ujuzi nayo.

Fikiria wewe Msukuma ujifanye unajadili mambo ya wandendereko usiowajua si Utaonekana mwendawazimu.
 
Tuache tu tuendeshwe, kwani wewe kinakuuma nini?.Mimi huwezi kunitoa kwenye Imani yangu.
Kweli kabisa ,Dunia haijafikia usiriaz kiasi cha kuona dini ni upuuzi bado kuna mambo na upuuzi mwingi unaoendelea. Hata mimi naamini imani yangu hainiidhuru wala kuniathiri kivyovyote.
 
Laiti kama ufahamu ukikurudia utapenda kutup tena ushuhuda.

Huna Elimu youote kuhusu Mtu akiwa hai na Akishakufa...uko Empty...

Mtu akifa kinachozikwa ni Mwili na siyo Roho yake...

Mwili ni Udongo na,Udongoni utarudi.

Roho iliyotenda maovu itateseka tu...kwa kuwa Roho haifi.

Umeshasikia mtu akisema ...naumwa Roho?

Kuumwa Roho ni Kuteseka...hili humkuta mtu akiwa Hai...

Sasa ukifa..matendo yako yanashuhudiwa na watu...kama ni mtenda maovu utateseka mara Elfu zaidi...

Na pia iko KARMA...Laana...huu ni mfululizo wa mambo yanayotokea katika maumivu ya Roho wakati fulani...na kumpata mwenyr Roho Mwingine.

Mungu yupo,alikuwepo na atakuwepo milele!

Sasa kwenye baadhi ya dini kuna ulsghai lakini UKWELI UNABAKI KUWA UKWELI.
 
Tatizo umepewa elimu na wasiokuwa na elimu,kalibu upande wa pili wa Uisilamu,halafu hayo yote unayouliza yasiyokuwa na majibu utapata majibu yake.
Toka kutungwa mimba mpaka siku yake ya kufa,toka Adamu mpaka kiama,kalibu ndugu yangu upate ukweli
 
Ati roho.! Mkuu Baki na imani yako.
 
Yaleyale tu
 
Yaleyale tu
Siyo yaleyale tatizo binadamu wanaishi kwa kupata ukweli wa upande mmoja,inawezekana hata mimi nilikuwa kama wewe,nilikuwa na maswali mengi kuliko majibu, lakini nimefundishwa ukweli kiasi na mimi naweza kuwafundisha watu ukweli kwa ile elimu ya ukweli ndogo niliyoipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…