Hivi mnaona ninachokiona au nyie ni vipofu?

Kipi Cha tofauti ulichonacho
 
Wewe roho inakuuma nn? Mimi nikienda Kansan wewe unapungukiwa nn?
Watu kusali sio Kila mmoja ana lengo lileeee...au bas nisiseme
 
Wewe roho inakuuma nn? Mimi nikienda Kansan wewe unapungukiwa nn?
Watu kusali sio Kila mmoja ana lengo lileeee...au bas nisiseme
Ndo mkanyagwe migongo..?πŸ˜€
 
Reactions: Ok9
Kama hilo la kuhamisha milima tu umeshindwa kuelewa maana yake, mengine utayaweza?
Punguza siasa andika vitu kwa ufafanuzi Kama unaona sijaelewa.
 
Ungekuwa Saudi Arabia,ungepigiwa hodi leo usiku.
 
Uzuri unaongelea imani na hicho unachokiandika hapa ni imani.

Ikiwa unaamini hivyo ni sawa na wengine wanaamini moto ni sawa.

Lakini unaweza kuamini kweli na uongo. Haya yote utayajua katika utimilifu wa dahari. Endelea na imani yako.

Mimi naamini katika mafundisho ya Mwalimu mkuu Yesu Kristo. Kwani mambo yote aliyofundisha, (elewa nasema yote sio baadhi) na kitabu alichotumia nimeyafanyia kazi na kuona ni kweli tupu kwangu (sio kwako).

Tusipangiane cha kuamini. Naamini moto upo, faida ndo tutajua moto ukiwaka kuchoma.
 
Dini zinaweza kuonekana kama wendawazimu, sawa, kuna watu wanaabudu mawe, wengine miti, wengine wanyama, milima, bahari, anga, ardhi, kifupi hakuna kitu ambacho wanadamu hawajakiabudu kama mungu wao.

Pamoja na hayo, hii haizuii uwepo wa Mungu. Mimi naamini uwepo wa maisha ya kiroho baada ya haya ya kimwili, na kwamba upo uwezekano wa adhabu kwa wale waliofanya matendo mabaya hapa duniani. Kwa lugha ya kibinadamu tunasema ni adhabu ya moto, lakini siamini kama ni moto kwa jinsi tujuavyo, bali ni adhabu kali ya kuwa mbali na Mungu.
 
Mm sina dini ila nasema mungu lazima yupo hata sayanyi kubwa na akili kubwa vinathibitisha .....1)you can't destroy energy even create it......
2)In reality, there is no matters even matters is energy.
Hapo ndipo ilipo siri ya uwepo wa Mungu na viumbe vyote.
 
Mwanadamu ndio kiumbe hai pekee duniani chenye 3 dimensions wengine ni Physical tu:

-Spirit dimension: The zoe life
-Soul dimension: Intelligent life
-Physical dimension: Body life

Spirit dimension ndo inacontrol dimension zote tatu bs ndio main source,ila wengi wameishia kumaster soul and physical dimension

Ukiwa kwenye spirit dimension utashangaa sana namna inafanya kazi.
 
Tupe ushahidi kwanini waliokufa hawachomwi moto!!na unatumia vigezo gani kufikia hapo,au na wewe unatumia logic za kibinadamu!!
Ninachojua Mimi,ukiona simu ya galaxy macho matatu,au landcruiser V8,huwezi kusema hivi vitu vimetokea tu,hata ukinunua,utwkuta user manual,utaisoma na utafata maelekezo jinsi ya kutumia.
Sasa utakuwa kichaa ukiamini hivyo vitu vimetokea tu,hakuna aliyevitengeneza,na utwkuwa kichaa mala mbili ukipinga maelekezo yaliyopo kwenye user manual?!!binadamu alitengenezwa,na aliyemtengeneza ndie anasema usipofanya anavyotaka utachomwa moto!!,wewe unapinga,sie tunqamini aliyeumba ndie kaleta msaafu na biblia.
Wewe una base hoja zako kupitia nini?Elimu ya YouTube!??
 
Kuna uzi nilishaleta humu unazungumzia kuhusu Mungu.
 
Leta ushahidi spirit imekusaidia nini
 
Unarudisha nyuma ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…