Nimeishi bila ibada kwa muda mrefu na nimeishi ndani ya ibada hadi sasa kitu nimeona ni amani kubwa sana ndani yangu, nakusihii ishi kwa ibada hutakua na majuto ndani yako, na hakuna faida ya kuishi bila ibada, yote yaliyo mema yanapatikana kwake Mungu na zaidi ya yote hakuna Majuto kuwa na ushirika nae.