Hivi mnapata ugumu kujua mboga ya kupika kama mimi?

Hivi mnapata ugumu kujua mboga ya kupika kama mimi?

Nikibaki mwenyewe sihangahiki nahitaji dagaa ,mayai ,vitunguu ,pilipili baasi .Wakirudi hawa wazee wa mamichuzi na maviungo inakuwa ni kamzozo.
 
Kuna kipindi mama watoto kidogo tugombane, kila siku anauliza tupike nini. Kumbe mnapata tabu eeh.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Hawa wanawake, most of them, have minds like a hole on the wall, ukizingatia sana unazeeka single. Ni kukubaliana na hali halisi tu na kuishi nao.
 
Personally hii kitu ilinishinda. Nkaamua tu kuvuta bebez tukae wote.

Nlichomwambia n kimoja, mimi sili mbwa wala chura au nyoka, vingine vyote nakula. Kazi kwako kuamua unachotaka.

After hapo nahakikisha maronyaronya yako ndichi bas nakaa kwa kutulia, atakachopika nafukia nalala. Muhim jumapili pilau na noah baas!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom