Hivi mnapata ugumu kujua mboga ya kupika kama mimi?

Hivi mnapata ugumu kujua mboga ya kupika kama mimi?

Njegere naona zina mambo mengi kwangua nazi chuja tuišŸ™„
Mie nazipenda hata saa1 unapika fasta..kikombe 1 tu zimeiva..ila mm nikiona habari za nazi sinq muda napikia kwa wali then najitengenezea salad chap...so napata wali wa maua humo humo carot twende kazi
 
Nyepesi kupika, nlikuaga nakimbilia wali maharage chap....sahivi kids sijui wameuchoka maharage nimeyapa likizo kidogo
 
Hebu tuje tusaidiane kuandaa menu ya wiki mbili kurudia vyakula tuone kama tutaifata🤣
MEnu ya wiki nzima kwa jioni tu dinner...(African food):
Monday--- NDIZI NYAMA+ MCHICHA +CHUNGWA.
Tuesday---WALI MAHARAGE +SALAD +NDizi mbivu
Wednesday---WALI NJEGERE+JUICE YA EMBE /BUNGO
Thursday---- NDIZI MZUZU ZA NAZI +KUKU YA KUKAANGWA+MCHICHA+TIKITI
Friday---WALI SAMAKI+CHINESE/KISAMVU+PARACHICHI
Saturday---MAGIMBI YA NAZI NA VIAZI VITAMU(FUTARI)+JUICE YA UBUYU
Sunday---Pilau kuku+mchicha+juice ya bungo

Cc;

Evelyn Salt
 
Ratiba nzuri ila ndo ivo kisemo cha Evelyn, umepanga ndizi nyama mfukoni una hela ya wali maharage. Ratiba ni nzuri ila kwa sisi unga unga mwana ni mtihani kuifata.
 
Jmosi: Nyama choma, ndizi choma na salad (watoto juice baba na mama beer😁)

Jpili: Pilau nyama, ndizi mbivu na juice

Jtatu: Wali maharage/njegere tikiti

Jnne:chips yai na juice

Jtano: Mchemsho wa ndizi/viazi na nyama au samaki na mboga mboga ndani yake

Alhamis: Wali samaki mboga za majani

Ijumaa: Chapati makange

Tutafute hela jamani tule maharage mara moja kwa wiki 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nimecheka pa baba na mama bia🤣!kabisa aise i hate maharage basi tu sina jinsišŸ˜”
 
Jmosi huwa napenda kuchoma nikinunua part ya nyama inaitwa salala au T-bone naimarinate vizuri inachomwa twala na chips au ndizi kisha nipate beer basi najiona maisha nimeyapatia🤣🤣🤣
Nyama safi sana hiyo aisee..!mie every jpl sio mpenzi wa chips ni mlafi wa kitu cha pilau...nashushia na ki blak n white ah...sikumbiki kitu cha kuporwa bandari mie..napenda pilau balaa...
 
Back
Top Bottom