OkMeneja Wa Makampuni huyu naamini atakupa jibu sahihi
We ni mpumbavuWadau tunauliza mara kwa mara but hakuna anaetoa jibu,mnataka tufeli ndo mfurahi?
Kuna paper 14/06/2025.
Tupeni muongozo bwana.
Punguza stress za maisha we mzee.We ni mpumbavu
Hata kama mtu ana majibu ya swali lako hatajibu kwa jinsi ulivo liandika
Inaonesha ndiyo umefundishwa na wazaz wako hivo
Ndiyo maana siku hizi hata kama una connection unaamua kutulia tuu kama vijana wenyewe ndiyo hawa hawana adabu
Kila mtu apambane na hali yake
Ile issue yako ya kuogea chumvi imefikia wapi mkuu?Hakuna ugomvi
Mbona magroup ya whatsap yako mengi tu, wanashare about hiyo post.Wadau tunauliza mara kwa mara but hakuna anaetoa jibu,mnataka tufeli ndo mfurahi?
Kuna paper 14/06/2025.
Tupeni muongozo bwana.
Njoo pmWadau tunauliza mara kwa mara but hakuna anaetoa jibu,mnataka tufeli ndo mfurahi?
Kuna paper 14/06/2025.
Tupeni muongozo bwana.
Kwa nini aje PM na wakt yeye kauliza kiuwazi kabisa hapa?Njoo pm
Ili nimtumie material watsapKwa nini aje PM na wakt yeye kauliza kiuwazi kabisa hapa?