Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,898
- 4,156
- Thread starter
- #21
Nmesema nipo kikazi sija jipangia kukaaKama wewe huwezi wewe kaishi unapoweza unalazimishwa kuishi dom .?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmesema nipo kikazi sija jipangia kukaaKama wewe huwezi wewe kaishi unapoweza unalazimishwa kuishi dom .?
Wewe ni wa kike au wa kiume??kama ni wa kiume basi una umayaimayai sana,jitahidi usije kuingia Jela maana kwa ulaini huo utaliwa Jela,wanaume tumeishi mpaka Darfur na maisha yalikuwa safi tu,hapo Dodoma pa ki-sure kabisa unakuja kulialia JF?Nianze kwa kusema Nimeishi Arusha,Mwanza ,Dar Moshi, na saivi nipo Dodoma una elekea Mwaka sasa nipo uku kwa sababu za kikazi.
HALI YA HEWA
Huu mji toka nifike sijaona mvua ,mchana kuna jua kali sana na vumbi afu jion na usiku upepo mkali wa baridi kama jangwani karibia napakimbia .
MAKAZI
kwa saivi Dodoma ujenzi ndo mahala pake lakini watu hawajui kujenga kabsa ,Sizani ata kama wana tumia ramani kwenye kujenga maana wana jenga ma nyumba makubwa kama makubwa jinga afu mabaya hajapakwi rangi wala kupigwa lipu yana achwa ivyo ivyo. na madirishani wakiweka mifuko ya cement ,mabox au makaratasi ya magodoro ni kichefuchefu
Ukija kwenye bati ndo huzuni mabati marefu refu kama Mkuki
USAFIRI
Kama huna gari au sio wa kutokea STM .au STK etc uku hakufai usafiri aueleweki wala nauli hazieleweki kila mtu na nauli yake .
MAJI
Kwa mala ya kwanza nashuhudia maji ya idara ya maji yana chumvi l. kama huna kazi apakufai .maji ya kunywa ni ununue bila ivyo utakunywa chumvi uwe na meno kama ndugu zetu wa Arusha .
KAZI
Dodoma ofisi nyingi zina amia uku lakini sio sehemu bora ya kuja kuanzia maisha kama huna ramani tofauti na mikoa kama Dar,Mwanza na Arusha uku uta pauka dk 2 baada ya kushuka stand
MWISHO
nisipo ona ata mvua hii miezi ilio baki ata kwa mganga taenda nihame ofisiukute
MijusiKwani wewe ulikuta wanaishi kima au?
Kama wapo basi maisha yanaendelea safi kabisaMijusi
Uko ndo mna chota maji kwenye mabwawa .afu wadogo uwa hawajisafishi vizuri
Nadhani angeangalia na facts je watu wanahama sana Dodoma au watu wanahamia sana Dodoma. Navyojuwa mimi wahamiaji ni wengi sana na mpaka kwenye mikoa aliyoitaja sijui Arusha, Mwanza wako wengi Dodoma kutafuta fursa.Kama wewe huwezi wewe kaishi unapoweza unalazimishwa kuishi dom .?
Kama wewe huwezi wewe kaishi unapoweza u
Wagogo wenyewe wamepashindwa wapo Dar kwenye mataa/trafick lighs!
Umaskini tu unawasumbua, huku duniani kufanya moderation ya weather ni jambo la kawaida sana.Rudi tuu ulipotoka mkoa hauwezi kujibadilisha hali yake ya hewa iendane na wewe...
Wewe ni wa kiume au wa kike??kama ni wa kiume basi hakika Wanaume tumebaki wachache sana,wanaume halisi tumeishi mpaka Darfur huko na maisha yalikuwa safi tu,wewe hapo Dodoma palivyo pa ki-sure unakuja kulialia mpaka JF??utaweza kukaa Jela wewe kwa umayaimayai wako huo??si utagombaniwa kama mpira wa konaNianze kwa kusema Nimeishi Arusha,Mwanza ,Dar Moshi, na saivi nipo Dodoma una elekea Mwaka sasa nipo uku kwa sababu za kikazi.
HALI YA HEWA
Huu mji toka nifike sijaona mvua ,mchana kuna jua kali sana na vumbi afu jion na usiku upepo mkali wa baridi kama jangwani karibia napakimbia .
MAKAZI
kwa saivi Dodoma ujenzi ndo mahala pake lakini watu hawajui kujenga kabsa ,Sizani ata kama wana tumia ramani kwenye kujenga maana wana jenga ma nyumba makubwa kama makubwa jinga afu mabaya hajapakwi rangi wala kupigwa lipu yana achwa ivyo ivyo. na madirishani wakiweka mifuko ya cement ,mabox au makaratasi ya magodoro ni kichefuchefu
Ukija kwenye bati ndo huzuni mabati marefu refu kama Mkuki
USAFIRI
Kama huna gari au sio wa kutokea STM .au STK etc uku hakufai usafiri aueleweki wala nauli hazieleweki kila mtu na nauli yake .
MAJI
Kwa mala ya kwanza nashuhudia maji ya idara ya maji yana chumvi l. kama huna kazi apakufai .maji ya kunywa ni ununue bila ivyo utakunywa chumvi uwe na meno kama ndugu zetu wa Arusha .
KAZI
Dodoma ofisi nyingi zina amia uku lakini sio sehemu bora ya kuja kuanzia maisha kama huna ramani tofauti na mikoa kama Dar,Mwanza na Arusha uku uta pauka dk 2 baada ya kushuka stand
MWISHO
nisipo ona ata mvua hii miezi ilio baki ata kwa mganga taenda nihame ofisi
Nianze kwa kusema Nimeishi Arusha,Mwanza ,Dar Moshi, na saivi nipo Dodoma una elekea Mwaka sasa nipo uku kwa sababu za kikazi.
HALI YA HEWA
Huu mji toka nifike sijaona mvua ,mchana kuna jua kali sana na vumbi afu jion na usiku upepo mkali wa baridi kama jangwani karibia napakimbia .
MAKAZI
kwa saivi Dodoma ujenzi ndo mahala pake lakini watu hawajui kujenga kabsa ,Sizani ata kama wana tumia ramani kwenye kujenga maana wana jenga ma nyumba makubwa kama makubwa jinga afu mabaya hajapakwi rangi wala kupigwa lipu yana achwa ivyo ivyo. na madirishani wakiweka mifuko ya cement ,mabox au makaratasi ya magodoro ni kichefuchefu
Ukija kwenye bati ndo huzuni mabati marefu refu kama Mkuki
USAFIRI
Kama huna gari au sio wa kutokea STM .au STK etc uku hakufai usafiri aueleweki wala nauli hazieleweki kila mtu na nauli yake .
MAJI
Kwa mala ya kwanza nashuhudia maji ya idara ya maji yana chumvi l. kama huna kazi apakufai .maji ya kunywa ni ununue bila ivyo utakunywa chumvi uwe na meno kama ndugu zetu wa Arusha .
KAZI
Dodoma ofisi nyingi zina amia uku lakini sio sehemu bora ya kuja kuanzia maisha kama huna ramani tofauti na mikoa kama Dar,Mwanza na Arusha uku uta pauka dk 2 baada ya kushuka stand
MWISHO
nisipo ona ata mvua hii miezi ilio baki ata kwa mganga taenda nihame ofisi
sindiyo,Bhata zangu nalia dodoma, it's a nicest place to be!
Dar amna vumbi na upepo mkaliKama umeishi Dar na ule usumbufu unaweza ishi Dodoma hata Singida, Kama umeishi Arusha peke yake, Dodoma ni ngumu kidogo
We ni mchumba tuWewe ni wa kiume au wa kike??kama ni wa kiume basi hakika Wanaume tumebaki wachache sana,wanaume halisi tumeishi mpaka Darfur huko na maisha yalikuwa safi tu,wewe hapo Dodoma palivyo pa ki-sure unakuja kulialia mpaka JF??utaweza kukaa Jela wewe kwa umayaimayai wako huo??si utagombaniwa kama mpira wa kona
Inabidi ziwepo juhudi kubwa za kupanda miti na imwagiliwe. Juhudi kweli haswa za kuhusisha raia maelfu.sijui imekuwaje serikali ime hamia uku .
Labda fursa za kufyatua tofali na maduka ya hardwares .Nadhani angeangalia na facts je watu wanahama sana Dodoma au watu wanahamia sana Dodoma. Navyojuwa mimi wahamiaji ni wengi sana na mpaka kwenye mikoa aliyoitaja sijui Arusha, Mwanza wako wengi Dodoma kutafuta fursa.
Mbona Dodoma pazuri sana kama wewe huwezi kuishi kisa ni white tuache sisi wagumu tuishi acha kukatisha watu tamaa omba uamisho nenda namanyere huko .Nadhani angeangalia na facts je watu wanahama sana Dodoma au watu wanahamia sana Dodoma. Navyojuwa mimi wahamiaji ni wengi sana na mpaka kwenye mikoa aliyoitaja sijui Arusha, Mwanza wako wengi Dodoma kutafuta fursa.
Karibu Dom mkuu ukipazoea hutakaa ujute kwa fursa zilizo hapaNmesema nipo kikazi sija jipangia kukaa