Hivi mnawezaje kuishi Dodoma?

Wewe ni wa kike au wa kiume??kama ni wa kiume basi una umayaimayai sana,jitahidi usije kuingia Jela maana kwa ulaini huo utaliwa Jela,wanaume tumeishi mpaka Darfur na maisha yalikuwa safi tu,hapo Dodoma pa ki-sure kabisa unakuja kulialia JF?
 
Wewe ni wa kiume au wa kike??kama ni wa kiume basi hakika Wanaume tumebaki wachache sana,wanaume halisi tumeishi mpaka Darfur huko na maisha yalikuwa safi tu,wewe hapo Dodoma palivyo pa ki-sure unakuja kulialia mpaka JF??utaweza kukaa Jela wewe kwa umayaimayai wako huo??si utagombaniwa kama mpira wa kona
 

Kama umeishi Dar na ule usumbufu unaweza ishi Dodoma hata Singida, Kama umeishi Arusha peke yake, Dodoma ni ngumu kidogo
 
We ni mchumba tu
 
Nadhani angeangalia na facts je watu wanahama sana Dodoma au watu wanahamia sana Dodoma. Navyojuwa mimi wahamiaji ni wengi sana na mpaka kwenye mikoa aliyoitaja sijui Arusha, Mwanza wako wengi Dodoma kutafuta fursa.
Mbona Dodoma pazuri sana kama wewe huwezi kuishi kisa ni white tuache sisi wagumu tuishi acha kukatisha watu tamaa omba uamisho nenda namanyere huko .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…