Hivi mnawezaje kuishi maisha ya aina mbili kwa wakati mmoja?

Hivi mnawezaje kuishi maisha ya aina mbili kwa wakati mmoja?

The real Daniel

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2017
Posts
2,117
Reaction score
7,899
Kumekuwa na watu wengi ambao wanaishia maisha ya aina mbili kwa wakati mmoja, mfano unakuta mtu ametoka kufanya uzinzi mchana, then jioni anapost status au post ya kawaida kwenye WhatsApp, FB na inta akiwahimiza watu kuhudhuria ibada ya maombi na akiwa confident kabisa. Unakuta kesho anaenda kuliwa Tena na akirudi anawakumbusha kwenda kwenye hiyo ibada.

Wengine unakuta anatembea na mume wa mtu Mara nyingi tu lakini Hana aibu ya kuweka content inayoonyesha Yuko vyema na Mungu.

Au anapost vifungu vya bible au kujaribu kufanya chochote kinachoonyesha yeye ni mtu wa dini sana.

Huwa najiuliza sana, watu wanaenda kanisani kuongeza idadi ya watu au kusikiliza maneno ya Mungu na kujaribu Kuishi kulingana na maneno ya Mungu na hata kama ikitokea umefanya dhambi nzito kama uzinzi basi unatakiwa kuonyesha unyenyekevu na kusali sana ili kujisafisha na kuhakikisha umeweka sawa mahusiano yako na Mungu ndipo uanze kufanya kazi ya kiwatangazia wengine habari za Mungu.

How is this possible?
 
Kama Kuna mbingu hakuna mwafrika atakayeiona hiyo mbingu asilani. Narudia hakuna mwafrika yeyote atakayeiona mbingu wengi ni wanafiki na waongo wakubwa kuanzia viongozi wa dini,wanasiasa mpaka raia wa kawaida!

Anyway kwangu mimi mbingu ni Hadith za kufikirika tu hazina uhalisia!

Kama mnaona nadanganya oneni wanafiki watakavyo nishambulia na Hao ndio wale wanaojinasibu Wana tenda na kufuata mambo ya Mungu wao! Keep waiting wafia dini!
 
Vipaji vya watu hivyo mi sinaga vunga kama ni mhalifu ni mhalifu tu ogopa matapeli ndugu..[emoji23]
Bora mtu awe na upande mmoja tu, au hata kama ukiwa kwa Mungu ikitokea kosa kubwa basi anajutia, unaomba msamaha kwa Mungu mwenyewe ndipo mtu aendelee na shughuli za kidini.
 
Hata Mfalme Daudi alikuwa mcha Mungu kweli2 ila alitenda dhambi na pia aliendelea kumcha Mngu!

No one is perfect!
Hujanielewa. Sijasema mtu wa Mungu hawezi kufanya dhambi. Nilichosema inawezekana vipi mtu ukawa unafanya dhambi kubwa na at the same time unawaaminisha watu kuwa ni mtu wa kiroho sana. Kwanini baada ya kufanya dhambi usitubu na kubadili njia zako ndipo urudie kazi zako za dini au urudie kuwaonyesha watu kuwa uko vizuri?
 
Unadhan akili/nafs haziwasuti?!..watakuambia 'fuaten maneno, sio vtendo' [emoji23].
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Sasa ukikuta hivi basi jua huyo ni tapeli wa dini tu kama walivyokuwa mafarisayo
 
Back
Top Bottom