Hivi mnawezaje kuishi maisha ya aina mbili kwa wakati mmoja?

Hivi mnawezaje kuishi maisha ya aina mbili kwa wakati mmoja?

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] jamani sijachapiwa someni comment #35
Mkuu humu wamejaa wanasaikolojia, wameshang'amua kwamba kuna mpendwa mwenzio ulikuwa umem target, mara jamaa kaingia kati na kaanza kuvinjari naye, matokeo yake umekuja kumtolea povu huku jamvini....
 
Mkuu humu wamejaa wanasaikolojia, wameshang'amua kwamba kuna mpendwa mwenzio ulikuwa umem target, mara jamaa kaingia kati na kaanza kuvinjari naye, matokeo yake umekuja kumtolea povu huku jamvini....
[emoji1][emoji1]hakuna kitu kama hicho muheshimiwa mwanasaikolojia, sijachapiwa ila nimejiuliza tu na ndiyo maana nimekuja kwenu wanasaikolojia mniambie hili linawezekanaje?
 
Umeona ka post halafu ukamfatilia Hadi gesti??
Nshakutana na jirani mwenyekiti ya jumuiya gest na ana mme ,anatoka na dogo wa advance shule ya jirani. Alikuja kuwa rafiki yangu hatari wakati alikuwa kila Mara mfano kwangu nibadilike mitungi na mademu.
 
Kumekuwa na watu wengi ambao wanaishia maisha ya aina mbili kwa wakati mmoja, mfano unakuta mtu ametoka kufanya uzinzi mchana, then jioni anapost status au post ya kawaida kwenye Whatsapp, FB na inta akiwahimiza watu kuhudhuria ibada ya maombi na akiwa confident kabisa. Unakuta kesho anaenda kuliwa Tena na akirudi anawakumbusha kwenda kwenye hiyo ibada.

Wengine unakuta anatembea na mume wa mtu Mara nyingi tu lakini Hana aibu ya kuweka content inayoonyesha Yuko vyema na Mungu.

Au anapost vifungu vya bible au kujaribu kufanya chochote kinachoonyesha yeye ni mtu wa dini sana.

Huwa najiuliza sana, watu wanaenda kanisani kuongeza idadi ya watu au kusikiliza maneno ya Mungu na kujaribu Kuishi kulingana na maneno ya Mungu na hata kama ikitokea umefanya dhambi nzito kama uzinzi basi unatakiwa kuonyesha unyenyekevu na kusali sana ili kujisafisha na kuhakikisha umeweka sawa mahusiano yako na Mungu ndipo uanze kufanya kazi ya kiwatangazia wengine habari za Mungu.

How is this possible?
Huko kukumbusha kwenda ibadan, huku katoka kugegedwa, si ni mida miwili tofauti..!? Nilidhani labda huku anagongwa wakati huo huo anaposti kukumbusha ibada
 
Halafu mifano yake imebase kwa wanawake tu inamaana wanawake huwa wanazini peke yao hahaha!
Sema mwanangu amri ya sita kuzini na ile usitamani mwanamke asiye mke wako zikifutwa masela karibia wote tutauona ufalme wa mbingu...

Kukaa bila kut**mba wala kut***bwa kipengele sana kipururu noma....
 
Halafu mifano yake imebase kwa wanawake tu inamaana wanawake huwa wanazini peke yao hahaha!
Hujaelewa maana ya hii post.
Ninachomaanisha ni kuwa ACTIVE kwenye DHAMBI ambayo mtu anauhakika kabisa kwamba hii ni dhambi at the same time ACTIVE kwenye MAMBO YA IBADA na wakati mwingine unakuta ni kiongozi wa kitu Fulani pale ibadani.

Pia swala la kuzini nafikiri ndiyo swala ambalo kwa dini zote ni dhambi kubwa sana tofauti na zingine kama kunywa pombe wengine ni dhambi na wengine siyo dhambi.
Lakini pia hata wanaume wanahusika na Hili swala.
 
Mtu kama huyo anakua hana ufahamu kama dhambi ni nini? Ukiijua dhambi huwezi kufanya dhambi halafu ukajifanya uko sawa na Mungu, sababu ile Confidence ya kiMungu inakua haiko ndani yako. Hata na hivyo dhambi ina nguvu sana ndio maana watu wanasifia kunyanduana nje ya ndoa kama vile ndiyo Ujanja kumbe wanayo hatia katika hisia zao na furaha ya kweli haimo ndani yao, watajifanya kujichekesha na mipira ya yanga na simba but deep inside there's no confidence in God.
 
Yes kweli anakuwa hafahamu dhambi Nini.
 
Hujaelewa maana ya hii post.
Ninachomaanisha ni kuwa ACTIVE kwenye DHAMBI ambayo mtu anauhakika kabisa kwamba hii ni dhambi at the same time ACTIVE kwenye MAMBO YA IBADA na wakati mwingine unakuta ni kiongozi wa kitu Fulani pale ibadani.

Pia swala la kuzini nafikiri ndiyo swala ambalo kwa dini zote ni dhambi kubwa sana tofauti na zingine kama kunywa pombe wengine ni dhambi na wengine siyo dhambi.
Lakini pia hata wanaume wanahusika na Hili swala.
Sawa mkuu nimekuelewa.
 
Kumekuwa na watu wengi ambao wanaishia maisha ya aina mbili kwa wakati mmoja, mfano unakuta mtu ametoka kufanya uzinzi mchana, then jioni anapost status au post ya kawaida kwenye WhatsApp, FB na inta akiwahimiza watu kuhudhuria ibada ya maombi na akiwa confident kabisa. Unakuta kesho anaenda kuliwa Tena na akirudi anawakumbusha kwenda kwenye hiyo ibada.

Wengine unakuta anatembea na mume wa mtu Mara nyingi tu lakini Hana aibu ya kuweka content inayoonyesha Yuko vyema na Mungu.

Au anapost vifungu vya bible au kujaribu kufanya chochote kinachoonyesha yeye ni mtu wa dini sana.

Huwa najiuliza sana, watu wanaenda kanisani kuongeza idadi ya watu au kusikiliza maneno ya Mungu na kujaribu Kuishi kulingana na maneno ya Mungu na hata kama ikitokea umefanya dhambi nzito kama uzinzi basi unatakiwa kuonyesha unyenyekevu na kusali sana ili kujisafisha na kuhakikisha umeweka sawa mahusiano yako na Mungu ndipo uanze kufanya kazi ya kiwatangazia wengine habari za Mungu.

How is this possible?
Sala ni kama mazoezi ya viungo kwao
 
Watu wanaoishi Double life wapo wengi sana sio kwenye Ibada tu na kuwa Wacha Mungu tu

Kuna wengine wameoa ila wana wake wengine wa siri
Mwingine unamkuta ana heshima zake kwa jamii ila ni shoga
Mwingine unamkuta anakufukuza kazi kwa wizi wakati yeye ni jambazi mkubwa

Kwa hiyo wengi sana wanaishi maisha ya double na sio kwetu tu bali duniani kote

Mtu ana duka kubwa mahali fulani lakini huku akienda mikoa mingine kufanya ujambazi wa unyang’anyi kwa silaha

Yaani kuna kila aina ya watu duniani unaweza ukishi na mtu na usijue ana maisha mengine tofauti na unayoyajua
 
Dini ni mpango wa wazungu kutumudu watu weusi sisi imani zetu wanaozijua ni babu zetu. Hizo sheria za kuzini na amri waliziweka kulinda maslahi yao.
 
Watu wa Mungu wanawezwa na Mungu mwenyewe Mkuu, ukistaajabu ya Musa ....
 
Back
Top Bottom