Bado anastruggle kuupata ukamilifu japo anaanguka katika dhambi mara kwa mara. Hajaacha kuendelea kujaribu kurudi kwenye mstari kwani ukisema ukate tamaa unakuwa unaikatia tamaa nafsi yako mwenyewe.Hujanielewa. Sijasema mtu wa Mungu hawezi kufanya dhambi. Nilichosema inawezekana vipi mtu ukawa unafanya dhambi kubwa na at the same time unawaaminisha watu kuwa ni mtu wa kiroho sana. Kwanini baada ya kufanya dhambi usitubu na kubadili njia zako ndipo urudie kazi zako za dini au urudie kuwaonyesha watu kuwa uko vizuri?
nimeielewa sana hii point.Ni sawa na mtu anayekwapua mamilioni ofisini kwa kutumia kalamu halafu nae eti anawalaumu vibaka wa mtaani kua ni wezi!
Na mara nyengine unamkuta nyumba ya ibada kwenye kapo la sadaka na yeye anaweka vichenji vyake vilivyobakia baada ya kukwapua ofisiniNi sawa na mtu anayekwapua mamilioni ofisini kwa kutumia kalamu halafu nae eti anawalaumu vibaka wa mtaani kua ni wezi!
Ni kweli lakini nafikiri Mungu anaijua vizuri sana hiyo dark side, so hatutakiwi ku pretend kwa watu wanaozunguka kwa kuwa mstari wa mbele kwenye shughuli za ibada na kujiongesha sana mbele ya watu kwamba sisi ni washikadini wazuri, huku tukijua kabisa Mungu anajua Mimi natembea na mume au mke wa mtu.kila mtu ana dark side yake na anajua anavyopambana nayo mkuu
Unahukumu mjomba, hiyo siyo kazi yako
Hizi mbanga, seko huwez kuzkosa..umenikumbusha mwalmu wa dn alipta nao knyama ad msala ukafka ofcn, kumbe zile sadaka zetu ndo znatumka kikamilfuNakumbuka nilipokuwa secondary Kuna mdada mmoja alikuwa mwenyekit wa maombi wa ukwata. Na nakumbuka alikuwa anaongoza...
Upo sahihi mkuu tena sahihi sana lakini ubaya huo sio uhalisia wa dunia hii tuliyonayoNi kweli lakini nafikiri Mungu anaijua vizuri sana hiyo dark side, so hatutakiwi ku pretend kwa watu wanaozunguka kwa kuwa mstari wa mbele kwenye shughuli za ibada na kujiongesha sana mbele ya watu kwamba sisi ni washikadini wazuri...
Sihukumu hapa kwasababu uzinzi Kila mtu anajua kabisa Mungu hautaki na hata huyu mzinzi anajua kabisa ni kosa na analitendaa kimakusudi kabisa na unakuta ni mchungaji, muongoza maombi, au sometime anakuhubiria wewe au kikundi Fulani kama Whatsapp group na kuwajulisha Mambo ya Mungu. Then huyu mtu kwa bahati mbaya au kwa kukusudia anafanya uzinzi na ANAJUA kabisa alichofanya ni kosa KUBWA.Unahukumu mjomba, hiyo siyo kazi yako.
Mkuu kuna mtu kakufanyia timing huko nini? maana mawaidha yako yame base kwenye eneo moja na pia umeipa daraja uzinzi kama dhambi nzito, sijui kwa kipimo kipi, ukiona pilika pilika za vitoto mitaani ujue shughuli ya kufyatua inafanyika huko.......kwa hiyo jaribu kujikita kwenye mishe zako binafsi, ya kwao waachie wenyewe......Kumekuwa na watu wengi ambao wanaishia maisha ya aina mbili kwa wakati mmoja, mfano unakuta mtu ametoka kufanya uzinzi mchana, then jioni anapost status au post ya kawaida kwenye Whatsapp, FB na inta akiwahimiza watu kuhudhuria ibada ya maombi na akiwa confident kabisa. Unakuta kesho anaenda kuliwa Tena na akirudi anawakumbusha kwenda kwenye hiyo ibada.
Wengine unakuta anatembea na mume wa mtu Mara nyingi tu lakini Hana aibu ya kuweka content inayoonyesha Yuko vyema na Mungu.
Au anapost vifungu vya bible au kujaribu kufanya chochote kinachoonyesha yeye ni mtu wa dini sana.
Huwa najiuliza sana, watu wanaenda kanisani kuongeza idadi ya watu au kusikiliza maneno ya Mungu na kujaribu Kuishi kulingana na maneno ya Mungu na hata kama ikitokea umefanya dhambi nzito kama uzinzi basi unatakiwa kuonyesha unyenyekevu na kusali sana ili kujisafisha na kuhakikisha umeweka sawa mahusiano yako na Mungu ndipo uanze kufanya kazi ya kiwatangazia wengine habari za Mungu.
How is this possible?
Mybe uko sahihi, lakini Mimi ninawazungumzia watu ambao mioyo yao wenyewe inawaambia hii uliyofanya ni dhambi kubwa lakini kesho unamkuta anaongoza ibada kanisani na kukemea kuhusu Jambo hilo Hilo na keshokutwa unamkuta anafanya dhambi ile ile.Usihukumu! Hiyo ni kazi ya Mungu.
[emoji1787] umepiga target[emoji121].Mkuu kuna mtu kakufanyia timing huko nini? maana mawaidha yako yame base kwenye eneo moja na pia umeipa daraja uzinzi kama dhambi nzito, sijui kwa kipimo kipi, ukiona pilika pilika za vitoto mitaani ujue shughuli ya kufyatua inafanyika huko.......kwa hiyo jaribu kujikita kwenye mishe zako binafsi, ya kwao waachie wenyewe......
Yeye kaiona ya uzinzi tu na kaipa na uzito sijui wa kilo ngapi, siyo bure jamaa kafanyiwa timing kwenye mchepuko....Mwendazake jumapili alikuwa anaenda Chachi na kura kwenye uchaguzi akaiba hiyo unaizungumziaje.
Lazima uje utoe povu hadi kwa wasiohusika na kadhia hiyo....[emoji1787] umepiga target[emoji121].
Inauma sana kuchapiwa kimasihara pale ulipowekeza.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] jamani sijachapiwa someni comment #35[emoji1787] umepiga target[emoji121].
Inauma sana kuchapiwa kimasihara pale ulipowekeza.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mkuu kuna mtu kakufanyia timing huko nini? maana mawaidha yako yame base kwenye eneo moja na pia umeipa daraja uzinzi kama dhambi nzito, sijui kwa kipimo kipi, ukiona pilika pilika za vitoto mitaani ujue shughuli ya kufyatua inafanyika huko.......kwa hiyo jaribu kujikita kwenye mishe zako binafsi, ya kwao waachie wenyewe......