Hivi mnawezaje kumfuta mtu katika fikra na hisia zenu? Mimi haikuwezekana

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
This is one of the most secretful things nimekaa nayo for years, na sijui kama kuna mtu atanielewa humu..

Nianze kwa kuuliza je, kuna mtu alishawahi kuwa connected to someone katika namna isiyo ya kawaida?

Yaani unakuwa unahisi like huyu mtu ni kama kuna cord flani invisible na instinctually connected unakuwa unajua kabisa in one way or another you guys are meant to be together?

Sasa scenario yangu ilianzia like 2008 nikiwa niko masomoni kuna manzi flan tulitokea tu tume click we were still in primary school back then..

Sasa by that time, I had really strong feelings for her ila utoto mwingi na being a nerd and jerk couldn't do nothing about it.. Ila ile chemistry was so amazing.

In short, I knew there was something deep btn us, it was more than just a feeling, it was a connection. Like soul stuff...

Ila we were kids back then, hata kufeel na kukaa na feelings without tripping, ilikuwa mtihani. Lazima tu utanumb Coz hujui hata ni nini una feel..

Walihamma kwenda mkoa mwingine,baada ya kumaliza primary na i didn't care. Kila mtu na goals zake anaenda wapi secondary... I was so ambitious na masomo... Ila the moments, the connection with that chick, ilikuwa ni kitu ambacho nakifeel regularly ila sikucare at all. Maana it all didn't make any sense.

Wakulungwa, baada ya kuingia secondary na kuanza mahusiano, nilijikuta machaguzi yangu yalikuwa kama yeye tu, yaani all my types had to look like her, either macho, body count, na alikua kichwa vibaya mno.. So maelekezo yangu ilikua kama ni mbumbumbu hatutaenda popote. So zile pisi kali alaf kichwan hewa ilikua tunadumu Mwezi tu.

Guys, none of the relationships worked, ilikua na expect kuwa nitapata qualities za huyo demu wa primary ambaye hata kukiss sikuwahi. Daah

Wazee, ulikuja kunikuta one day tu nimekaa zangu night lonely as *** nimetemana na demu niliye sumu nae myezi 4, ndo ikanijia ile teeing na memory ya huyu manzi ambaye we had just a situationship, nikajiiliza why am I always thinking of someone ambaye by now anaweza kuwa kanisahau?

And why does my life revolves around her! Nilicho kosea ni kutafta namna ya kupata ili nimwambie.

Long story short, baada ya ku link up tena, it was quite different.. Na ndo nlikuja kupitia vitu nikisema nisimulie humu itabidi iwe zile story za episodes.... (something to do with soul ties, soul mates, and twin flames)

By now we do talk, once in a while.. Ila nilikosea sana kumtafuta bora ningekaza tu, na naona pia huenda ilibidi nipitie kuna lessons nilipaswa kujua.

Ila nakuja na swali Je kuna mtu Alisha wahi kuwa na strong attachment na mtu to the point hawezi kumsahau?

Kuna theory ya twin flames nilishawahi kuisoma na kujaribu ku relate.. Na ikamake lots of sense na kwa sababu ni theory tuu haina scientific evidence..

Je kuna mtu ashawahi pitia hii kitu?

Also wadau Mnapenda kuisikiliza music kwenye airpod zipi kali kwa budget below 50k?
 
Yani shule ya msingi ulikua na feelings za kimapenzi na msichana 😂 😂.

Sad Man GIF.gif

Ni utoto tu japo sijaweza kumaliza kusoma mpaka mwisho!
 
Hivi kuna shida gani kama Hujaelewa kitu ukauliza kuliko kuja na mihemko isiyo na mbele wala nyuma..?
 
tatizo la kisaikolojia, anza sasa kubadili aina mbalimbali za wanawake wasiofana na huyo.utabadili mtazamo, na ikitokea umeshindwa basi ni ugonjwa wa akili huo
 
Kwa hio na wewe umefikiri ukaja na conclusion hiyo? 😂 😂 Hivi watu wa aina hii huwa mnatumia nini kufikiri?
 
Kwa hio na wewe umewaza ukaja na conclusion hiyo? 😂 😂 Hivi watu wa aina hii huwa mnatumia nini kuwaza?
wewe unatumia nini kuwaza hadi unateseka hivyo kwa vitu vidogo🤣, unadhani Mungu alikuumbia wewe huyo binti, bebu amka kutoka kwenye huo usingizi wa pono. acha uzembe familia
 
Nilianza na swali, na kama Umesoma uzi wote unajua tayari Nimeisha vuka huko.
Wewe umekuja nabkuandika kitu usicho hata na uhakika nacho? That's insane
 
hujavuka bado kama unavyodhani ndio maana upo hapa
 
Kwanza usikimbie the fact umeekurupuka, pili ukisoma title na uzi kwa ujumla sipo kwenye situation uliyo zungumza...

Ni vile tu ulitaka attention ambayo basically haikuwepo
 
Back
Top Bottom