Ila mkuu hujasoma post yote? Mbona nimeeleza kuwa mwanzo ilikua very strong na nilikua sijui inamaana gani mpka nilipokuja ku delve kwenye spirituality baadae ndo nikajua kuna mambo ya soul ties...de gunner umensiktisha sana, kwny haya maisha kwann uwe na strong attachment na watu? kill hyo behavior mbaya, mm huw na feign attachment pale napoona maslahi2 tena kwa new people, khs old ones snaga habari kbsa. my circle iko very tighly siingilik kirahc pia siruhusugi wa2 waingile krahs hii naonaga inaniepusha na maattchment.