Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Naombeni mnieleweshe Kipindi au zama ambazo alikuwa anaishi bwana yesu kulikuwa hamna picha na huyu bwana yesu ambaye tumemuona au tanamuona makanisani picha yake ilipatikana VP? Na ukiangalia brian deacon amefanana na huyu yesu ambae tunaenda madhabauni kumuabudia ? Naombeni mnieleweshe mwisho tusiwe tunaabudu masanamu huyu