Hivi mnieleweshe: kwani kipindi cha yesu kulikuwa na picha? Sasa huyu yesu aliyepo makanisani picha yake ilipatikana VP?

View attachment 3187037
Wanasema picha zilioriginate kutokea kwenye kitambaa hiki,
Having subjected these samples to carbon-14 dating, all three laboratories concluded that the cloth of the shroud had been made sometime between 1260 and 1390, thus indicating that it was inauthentic. However, some scientists raised doubts about the researchers' methodology.
 
Wewe jamaa sanaa ya uchoraji ilikuwepo tangu kale,
Kina ,Thot, Nebuchadnezzar wa Babylon,Julius Caesar na Alexander the great wote picha zao zipo zilifanyiwa painting,

Ugumu upo wapi?
Picha ya Yesu Kristo original haipo ila kuna wachoraji wa kale walimpotrait the way alivyokua kumbuka hata wa Orthodox wa Ethiopia ambao hata hawakupelekewa injili na wazungu Wana picha ya Yesu Kristo tena mweusi tii na ina mfanano kwa mbali na hio ya wazungu kimwonekano hiyo coincidence ilitokeaje?

Ugumu upo, sababu ya lengo la kuchorwa picha husika.

Hapa kutakuja maswali, je ni kweli aliyechorwa ni yeye ? Hili ni swali la msingi sana.

Unao ushahidi wa hao wachoraji kale ?
 
Hiyo picha ni ya muigizaji boss.
Naombeni mnieleweshe Kipindi au zama ambazo alikuwa anaishi bwana yesu kulikuwa hamna picha na huyu bwana yesu ambaye tumemuona au tanamuona makanisani picha yake ilipatikana VP? Na ukiangalia brian deacon amefanana na huyu yesu ambae tunaenda madhabauni kumuabudia ? Naombeni mnieleweshe mwisho tusiwe tunaabudu masanamu huyu
 
Wewe jamaa sanaa ya uchoraji ilikuwepo tangu kale,
Kina ,Thot, Nebuchadnezzar wa Babylon,Julius Caesar na Alexander the great wote picha zao zipo zilifanyiwa painting,

Ugumu upo wapi?
Picha ya Yesu Kristo original haipo ila kuna wachoraji wa kale walimpotrait the way alivyokua kumbuka hata wa Orthodox wa Ethiopia ambao hata hawakupelekewa injili na wazungu Wana picha ya Yesu Kristo tena mweusi tii na ina mfanano kwa mbali na hio ya wazungu kimwonekano hiyo coincidence ilitokeaje?
hyo mnayoita picha ya yesu hyo sura ni ya cesare borgia, mshakaji wa karibu wa leonardo da vinci aliyechora hyo mnayoita picha ya yesu.
 
Waliomuona Yesu wamemuona through revelations and visions ila sio huyo wa kwenye picha
 
Naombeni mnieleweshe Kipindi au zama ambazo alikuwa anaishi bwana yesu kulikuwa hamna picha na huyu bwana yesu ambaye tumemuona au tanamuona makanisani picha yake ilipatikana VP? Na ukiangalia brian deacon amefanana na huyu yesu ambae tunaenda madhabauni kumuabudia ? Naombeni mnieleweshe mwisho tusiwe tunaabudu masanamu huyu
Jielimishe, una safari ndefu sana ya kuyapata maarifa.

1. Hakuna mwalimu yeyote wa dini anayeweza kukueleza kuwa hii ni picha ya Yesu, hii ni picha ya Maria, Yosefu, malaika au Mungu Baba.

Unachokiona makanisani ni kielelezo tu cha kubuta hisia zako wakati unapomwelekea huyo aliyetengenezewa picha ili upate yaswira ya tukil zima.

Wala si Yesu pekee, hata msalaba unaouona kwenye makanisa, hakuna anayeweza kukuambia kuwa huu ndiyo msalaba wa Kristo Bwana,ndivyo ulivyokuwa, lakini uwepo wake unakutengenezea taswira. Usali ukiwa unamwona Yesu juu ya msalaba. Unamwabudu Yesu aliyetundikwa juu ya msalaba, aliyetukomboa sote kwa njia ya mateso na kifo chake juu ya msalaba.
 
Huoni hii inaleta ishara ya uongo ambao bado hawajapata kuamini, hii hadith ya kufikilika tu. Ukristo unazidi kujimaliza kwa kwa njia hii??
 
hyo mnayoita picha ya yesu hyo sura ni ya cesare borgia, mshakaji wa karibu wa leonardo da vinci aliyechora hyo mnayoita picha ya yesu.
Cesare borgia alifanania na picha ya Yashua, Da vinci aliipotrait mchoro mpya kwa kutumia image za zamani na bahati nzuri Borgia alikua na mfanano huo acha uvivu nenda katafiti the Shroud of Turin na ufananishe na michoro ya wa Orthodox wa Ethiopia kule Lalibela ambao wao walikua na picha ya Yashua long before Da vinci code!
 
Haijaandikwa katika bibilia.. Ila mapokeo ya kikatoliki yanafundosha kuwa mwanamke mmoja aitwaye Veronica alimfuta Yesu Jasho na damu usoni kwa kutumia leso yake wakati wa mateso ya Yesu.. Kitendo hiki kilimfanya mwanamke huyo azawadiwe picha halisi ya Yesu katika kitambaa hicho.. Na michoro yote ya picha ya Yesu iliyofuata iliiga picha iliyobaki kwenye kitambaa hiki
 
Kwanza Yesu alikuwa muarabu. Huyo mwenye nywele za kushuka na macho ya bluu sijui wanamdanganya nani?
 
Cesare borgia alifanania na picha ya Yashua, Da vinci aliipotrait mchoro mpya kwa kutumia image za zamani na bahati nzuri Borgia alikua na mfanano huo acha uvivu nenda katafiti the Shroud of Turin na ufananishe na michoro ya wa Orthodox wa Ethiopia kule Lalibela ambao wao walikua na picha ya Yashua long before Da vinci code!
da vinci code tena? Wafia dini mko na shida sana mtapindishapindisha mambo ili kuficha ukweli, et bahati nzuri borgia alikuwa na mfanano huo? Unaongelea shroud of turin iliyo na utata mia kidogo?
 
Nani mfia dini hapa?
Na ukweli gani unapindishwa?
Nitajie utata wa shroud of turin ambao unaujua kutokana na uchunguzi wa scanning method iliyotumika,
Hivi kwa akili zako unadhani Leonardo Da vinci alikua anabahatisha tu katika michoro yake aliyoipotrait?

Roman catholic church under Roman empire walihifadhi kumbukumbu zote za kale ikiwemo mchoro original wa Yashua Amashiach hivi unadhani sanaa ya uchoraji na uhifadhi wa picha ulianza karne ya 19?
Vipi kuhusu michoro ya Kina Thot,N'ftit, Nebuchadnezzar Alexander the Great nk ambao waliishi 4500 BCE na michoro yao ipo katika sanaa za kale
Sembuse Yashua wa miaka 2025 CE tena mtu popular kama yeye watu wangeshindwa mpotrait

Ndio maana nikakuuliza ile michoro ya Waothodox wa Lalibela ilichorwa na Da vinci?
Au umewahi jua Waothodox wa Russia Wana michoro ya Black Yashua Amashiach similar na ile ya Da vinci na ya wa Ethiopia hiyo coincidence ilitokeaje?

Acha kuongea vitu kwa hearsay ingia field uchunguze mambo hilo unalolijua wewe watu tunalijua long time na mimi nimesoma Da vinci code kiundani,vile vile ni mchunguzi wa Tablet za Kale za Summeria na Anunnak chronicles of Ancient civilizations,

Ukitaka tuanze uchambuzi wa Shroud of Turin na picha ya Yashua Amashiach nipo tayari kukuletea ushahidi wa kihistoria ngoja nile kwanza njaa initoke nikuletee elimu hapa kwa evidence na fact
Don't chase and stay calm nigga!
👍👍
 
Kwanza Yesu alikuwa muarabu. Huyo mwenye nywele za kushuka na macho ya bluu sijui wanamdanganya nani?
Yesu hakuawahi kua Mwarabu Yesu Alikua Semi Negroid wa kabila la Juda
Yaani kimwonekano alikua Darken skin na nywele laini kama Wahabesh
Kumbuka hata Waarabu og ni Black na nywele laini hao weupe ni matokeo ya muingiliano na Jamii za caucasian kipindi cha Islam expansion!
 
Dunia imejaa ujinga,mara unaambiwa yesu alizaliwa huko Iran ya sasa kwa maana hiyo alikuwa mwarabu cha ajabu picha za yesu za sasa ni mzungu
 
Nani mfia dini hapa?
Na ukweli gani unapindishwa?
Nitajie utata wa shroud of turin ambao unaujua kutokana na uchunguzi wa scanning method iliyotumika,
Hivi kwa akili zako unadhani Leonardo Da vinci alikua anabahatisha tu katika michoro yake aliyoipotrait?

Roman catholic church under Roman empire walihifadhi kumbukumbu zote za kale ikiwemo mchoro original wa Yashua Amashiach hivi unadhani sanaa ya uchoraji na uhifadhi wa picha ulianza karne ya 19?
too wordy, carbon 14 dating inasema shroud of turin imekuwepo tangia lini?
 
Huwa nashangaa sana hizo picha zimejazwa makanisani na kwenye nyumba za watu na wanaabudu kabisa, yaani mtume muhammad swala na amani ziwe juu yake amekuja miaka 600 baada ya yesu kuondoka duniani, wala picha yake haipo kisha ya yesu aliezaliwa mwaka 1949 ndo inatamba makanisani, haya bhana.
 
Back
Top Bottom