Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Hakuna picha ya yesu halisi. Huyo wa kwenye mapicha ni yule mwigizaji na zingine ni za kufikirikaNaombeni mnieleweshe Kipindi au zama ambazo alikuwa anaishi bwana yesu kulikuwa hamna picha na huyu bwana yesu ambaye tumemuona au tanamuona makanisani picha yake ilipatikana VP? Na ukiangalia brian deacon amefanana na huyu yesu ambae tunaenda madhabauni kumuabudia ? Naombeni mnieleweshe mwisho tusiwe tunaabudu masanamu huyu
Japo authenticity ya hii Shroud of Turin nayo ni ya mashakaView attachment 3187037
Wanasema picha zilioriginate kutokea kwenye kitambaa hiki,
Ebu jiuleze jambo moja,kama leo hii kuna wasanii wanaweza kukuchora sura yako jinsi ulivyo kwa karafasi na penseli,je unadhani zamani hizo hawakuwepo.? TafakariNaombeni mnieleweshe Kipindi au zama ambazo alikuwa anaishi bwana yesu kulikuwa hamna picha na huyu bwana yesu ambaye tumemuona au tanamuona makanisani picha yake ilipatikana VP? Na ukiangalia brian deacon amefanana na huyu yesu ambae tunaenda madhabauni kumuabudia ? Naombeni mnieleweshe mwisho tusiwe tunaabudu masanamu huyu
ππππ...View attachment 3187037
Wanasema picha zilioriginate kutokea kwenye kitambaa hiki,
Over.Achana na hayo mambo, utachanganyikiwa.