sawa halima ndala ndefu, kanisa moja takatfu la mtume, tumsifu yesu kristu limehifadhi kumbukumbu zote tangia wakat wa yesu na before, ila kwenye kasri la papa pametundikwa picha ya borgia kama yesu, wachoraj walikuwepo kipindi cha yesu wakashindwa kumchora, baada ya kuondoka wakamchora yoshua kwan alifanana na yesu, kanisa katoliki wakachukua picha ya borgia (mtoto wa kimada wa papa) wakaacha ya almaarufu nabii yoshua.
kwa kheri ndala ndefu.