Hivi Mo akitoa Bilioni 20 anatakiwa kuwapa wakina nani?

Aya tufanye siku ndio ishakua simba kampuni ,nani sasa atakaekabidhiwa iyo b20 ambae atakua mmilik wa iyo simba kampuni
 
Aya tufanye siku ndio ishakua simba kampuni ,nani sasa atakaekabidhiwa iyo b20 ambae atakua mmilik wa iyo simba kampuni
Mkuuu wenyewe wanadai kua assets za Simba ambazo zinatokana na nguvu ya wanachama ndo hizo 51%.
 
Mo Dewji kawachokoza hawa waswahili wa Simba sc akina Hans Pope . Tutegemee Headlines za Msimbazi kila siku.

kigwangalla kaomba msamaha kinafiki (indirectly) kwa Mo kama vile anamchekaa sana kwa sasa
 
Wanasema wachezaji ni BIOLOGICAL ASSET.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli boss Mo alikurupuka kutaja hiko kiasi,Maana mpaka Leo hawajui club ina thamani gani,Wanachama wao wangapi TZ nzima n.k
Acheni masihara, hivi munamjua vizuri Mo? Yule ni muhindi, alioloona yeye wewe huwezi kuona kirahisi, hadi ukija kuona kashakula zaidi ya mara ishirini ya hiko kiasi unachosema kakurupuka,
Hajakosea, muhindi hakoseagi kijinga hesabu zinazohusu fwedhwaaaa, hasa hawa wanaokula mapilipili mengi
 
Mo Dewji kawachokoza hawa waswahili wa Simba sc akina Hans Pope . Tutegemee Headlines za Msimbazi kila siku.

kigwangalla kaomba msamaha kinafiki (indirectly) kwa Mo kama vile anamchekaa sana kwa sasa
Mkuu kawachokoza akina Pope kivipi?
 
Kwahyo Simba anaenda kupigwa?
 
"Dugu zangu hivi mnaona Mimi nashindwa kutoa 20 billion??
Mkaangalie Forbes... "
 
Aya tufanye siku ndio ishakua simba kampuni ,nani sasa atakaekabidhiwa iyo b20 ambae atakua mmilik wa iyo simba kampuni
Nimeamua nikujibu wewe maana swali lako huko juu wengi wameuliza na bila kupata majibu, ile bilioni 20 anayotoa Mo ikiingia kwenye akaunti ya simba hapohapo inaamishwa inapelekwa serikalini kununua bonds, ile return inayotokana na bonds ndio inatumika kuendesha simba, kwahiyo hapo Bilioni 20 za mo zinabaki vilevile kwahiyo hata siku akiamua kujitoa mzigo wake anaukuta vilevile,
 
Someni post #72
 
Soma post #72
 
Duh!!! Nchi Ina Mambo hii.
 
Na wao Simba wanatoa nini?.
Na hizo hela zitarudi vipi.au ni msaada?
Kama moo amepewa hisa ya 49% na anatakiwa atoe bilioni 20.
Simba waliobaki na hizo asilimia 51% wao wanatoa nini?
cross multiply utapata jibu
 
Anatakiwa awape Simba sports club company,

Na hela itakua deposited kwenye account ya kampuni,

Nadhani nimekujibu swali lako vizuri.
Halafu nani azichote huko? Na kuzitumiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…