Aya tufanye siku ndio ishakua simba kampuni ,nani sasa atakaekabidhiwa iyo b20 ambae atakua mmilik wa iyo simba kampuniAccording to FFC,Simba bado hawajakamilisha mchakato,kwahiyo Simba bado haijawa kampuni,
Mo dewji hauzi shares,ila ana mpango wa kununua shares za 49% ambazo zina gharimu 20B kwa mujibu wake na viongozi wa Simba,
Kwa madai yao mchakato ukikamilika wa ku-transform club from member's tier to shareholders' tier ndo ataweka mzigo,
Ikumbukwe Simba wanatumia mfumo wa 'board of directors' ilihali club bado haijawa transformed,
Karibu.