rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Ni ngumu kuwaelewesha hawa watu maana walikubali uwekezaji bila kuelewa maana yake kwa kifupi walipaswa kupewa elimu kwanza.Simba ni mali yao, wameamua tu kuuza 49 percent kwa twenty Bln. watoe nini tena?