Hivi Mo dewji anamwaga mabilioni ya Usajili Kigwangala huwa anakuwa wapi?

Hivi Mo dewji anamwaga mabilioni ya Usajili Kigwangala huwa anakuwa wapi?

Kuna kitu huwa sielewi naomba mnieleweshe. Kwa mujibu wa mchakato wa mabadiliko, wanachama wanamiliki 51% ya hisa pale Simba na Mo (mwekezaji) anamiliki 49%.

Sasa inakuwaje pesa za usajili tunategemea Mo ndio atoe nyingi kuliko wanachama?????
 
Back
Top Bottom