Hivi Mose Iyobo na dancers wa WCB ndio hawana kazi tena?

Maneno yako yanaendana na id yako
 
Wangekkuwa hawahitajika angewaondoa au wangeondoka we viiip
 
Wapo madale iyobo na mkewe wanatengeneza shoo za uck wa bunyero bunyero
Ha! Ha! Ha! Bunyero Bunyero! Wana Purojekiti hatari sana hawa watu! Last time walikua na Purojekiti Uno la uswazi na uno la kishua!
 
Anti Ezekiel ndo analipa bills. Kijana wacha alelewe
 
Wakati Diamond alivokuwa anatoka kimziki alikuwa ana uhitaji wa dancers lakini nyimbo zake za siku hizi hahitaji tena dancers mfano nyimbo alizotoa hivi karibuni, dah wanahuzunisha kweli ata trip za nje hawaendi sijui wako wapi now.
Unatafuta danga WCB ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…