Hivi mpaka leo kuna mtu anaamini kuwa kila mtoto anakuja na bakuli yake?

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
2,451
Reaction score
2,466
Hii tabia ilienea sana kwa watu wa pwani ambayo walirithi toka uarabuni.
1. Kama kweli kila mtoto huja na riziki yake kwanini kuna watoto wa mtaani?
2. Kwanini kuna watoto wanaoishi katika mazingira magumu?

Kaa kizembe fyatua watoto 10 huku ukiwa kibarua, umejenga kinyumba chako kama kituo cha polisi baada ya miaka kadha uanze kumlaumu Mungu kwa matatizo.

Mimi siamini huo mtazamo sababu zangu ziko juu hapo.
 
Acha uoga tafuta pesa, zaa watoto!

Familia kubwa ni asset! Jack Ma ni tajiri mkubwa kutokana na population kubwa ya China inayo subscribe bidhaa zake!

Kila kitu ni " subjective" unaweza kuwa na mtoto mmoja na bado ukashindwa kumpa huduma za msingi!

Hivi Marehemu Reginald Mengi angeweza kuzaa na kuhudumia watoto wangapi?

ACHA UOGA TAFUTA PESA, THEN ZAA SANA!
 
Watoto wa mitaani au wanaoishi mazingira magumu hizo ndo bakuli zao, siyo kila bakuli lazima liwe na chakula kizuri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duh mkuu umetisha sana hata mim naona yale ndio mabakuli yao
 
Hii tabia ilienea sana kwa watu wa pwani ambayo walirithi toka uarabuni.
1.Kama kweli kila mtoto huja na riziki yake kwanini kuna watoto wa mtaani?
2. Kwanini kuna watoto wanaoishi katika mazingira magumu?

Kaa kizembe fyatua watoto 10 huku ukiwa kibarua, umejenga kinyumba chako kama kituo cha polisi baada ya miaka kadha uanze kumlaumu Mungu kwa matatizo.

Mimi siamini huo mtazamo sababu zangu ziko juu hapo
Ndiyo Sauti soul wanaamini sana kwenye hilo.
 
Acha uoga tafuta pesa, zaa watoto!
Familia kubwa ni asset! Jack Ma ni tajiri mkubwa kutokana na population kubwa ya China inayo subscribe bidhaa zake!
Kila kitu ni " subjective" unaweza kuwa na mtoto mmoja na bado ukashindwa kumpa huduma za msingi!
Hivi Marehemu Reginald Mengi angeweza kuzaa na kuhudumia watoto wangapi?
ACHA UOGA TAFUTA PESA, THEN ZAA SANA!
Naomba maoni yako
 
Usidhani bakuli zote zitatoka ama watoto watapata kwa namna zinazofanana.

Kuna ambao watapata bakuli kutoka kwa wazazi wao.

Kuna mbao watapata bakuli kwa kuomba omba.

Sasa wewe unadhani kwamba bakuli la watoto wote litakuja kwa namna moja...big no
 
Kwa hiyo mkuu nani anapanga izo bakuli?
Aliyewaumba. Kiislam tumekatazwa kuua watoto kabla hawajazaliwa au wakishazaliwa kwa kuhofia umaskini. Kasome kitabu cha JK alienda primary peku peku, Leo hii nchi gani hajakanyaga?

Hiyo ndo nguvu ya muumba, anafanya atakavyo, Covid inasumbua wazungu walioendelea kwa matibabu ,kuliko kwa nchi maskini zinazotegemea miti shamba.
 
Kwa hiyo Mungu ni mbaguzi?awape wengine wengine wakose?
 
Sidhan. Mimi nimekaa sana Hosp nikifanya kazi kwenye tafiti flani na nikiona watoto wanaotoka kuzaliwa.sikuwah ona hata mmoja ambaye acha kuja na bakuli hata kijiko tu. Wanazaliwa wakiwa hawana kitu kabisa. Hao ambao wanazaliwa na mabakuli sijui inakuaje.
 
Mkiwa wengi ni vizuri zaidi kuliko wachache.
 
Sidhan. Mimi nimekaa sana Hosp nikifanya kazi kwenye tafiti flani na nikiona watoto wanaotoka kuzaliwa.sikuwah ona hata mmoja ambaye acha kuja na bakuli hata kijiko tu. Wanazaliwa wakiwa hawana kitu kabisa. Hao ambao wanazaliwa na mabakuli sijui inakuaje.
Ulikua hospital gani mkuu...Mbona Mimi Wangu nilimzaa na bakuli limejaa wali harage....Ukiwa unafanya utafiti uwe makini...Sio unakuwa unawaza Papuchi TU..

Ona Sasa hujaona mabakuli wanayozaliwa Nayo watoto SO SAD
 
Hii tabia ilienea sana kwa watu wa pwani ambayo walirithi toka uarabuni.
1. Kama kweli kila mtoto huja na riziki yake kwanini kuna watoto wa mtaani?
2. Kwanini kuna watoto wanaoishi katika mazingira magumu?

Kaa kizembe fyatua watoto 10 huku ukiwa kibarua, umejenga kinyumba chako kama kituo cha polisi baada ya miaka kadha uanze kumlaumu Mungu kwa matatizo.

Mimi siamini huo mtazamo sababu zangu ziko juu hapo.
Dah... Acha woga...pambana..kuwa mzalendo.....wingi wa watu ni msingi wa uchumi... fyatua sana tu...
2021 nilipanga 4...3 tayari...napambana na 1.....bado wiki 2 [emoji2960]
 
Mleta uzi atakuwa hana mtoto hata km yupo basi kwa bibi yake hivyo hajui chochote kuhusu mtoto.😂😂😂😂
 
Acha uoga tafuta pesa, zaa watoto!

Familia kubwa ni asset! Jack Ma ni tajiri mkubwa kutokana na population kubwa ya China inayo subscribe bidhaa zake!

Kila kitu ni " subjective" unaweza kuwa na mtoto mmoja na bado ukashindwa kumpa huduma za msingi!

Hivi Marehemu Reginald Mengi angeweza kuzaa na kuhudumia watoto wangapi?

ACHA UOGA TAFUTA PESA, THEN ZAA SANA!
Mi nilidhani Jack Ma ndiye mwenye watoto wengi,China fursa za ajira zinaendana na idadi ya watu na walio wengi ni qualified personnel sio huku the rate of being employed is decreasing rapidly!usipotoshe.
 
Back
Top Bottom