Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,451
- 2,466
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duh mkuu umetisha sana hata mim naona yale ndio mabakuli yaoWatoto wa mitaani au wanaoishi mazingira magumu hizo ndo bakuli zao, siyo kila bakuli lazima liwe na chakula kizuri.
Ndiyo Sauti soul wanaamini sana kwenye hilo.Hii tabia ilienea sana kwa watu wa pwani ambayo walirithi toka uarabuni.
1.Kama kweli kila mtoto huja na riziki yake kwanini kuna watoto wa mtaani?
2. Kwanini kuna watoto wanaoishi katika mazingira magumu?
Kaa kizembe fyatua watoto 10 huku ukiwa kibarua, umejenga kinyumba chako kama kituo cha polisi baada ya miaka kadha uanze kumlaumu Mungu kwa matatizo.
Mimi siamini huo mtazamo sababu zangu ziko juu hapo
Maoni yako?Ndiyo Sauti soul wanaamini sana kwenye hilo.
Naomba maoni yakoAcha uoga tafuta pesa, zaa watoto!
Familia kubwa ni asset! Jack Ma ni tajiri mkubwa kutokana na population kubwa ya China inayo subscribe bidhaa zake!
Kila kitu ni " subjective" unaweza kuwa na mtoto mmoja na bado ukashindwa kumpa huduma za msingi!
Hivi Marehemu Reginald Mengi angeweza kuzaa na kuhudumia watoto wangapi?
ACHA UOGA TAFUTA PESA, THEN ZAA SANA!
Kwa hiyo mkuu nani anapanga izo bakuli?Watoto wa mitaani au wanaoishi mazingira magumu hizo ndo bakuli zao, siyo kila bakuli lazima liwe na chakula kizuri.
Aliyewaumba. Kiislam tumekatazwa kuua watoto kabla hawajazaliwa au wakishazaliwa kwa kuhofia umaskini. Kasome kitabu cha JK alienda primary peku peku, Leo hii nchi gani hajakanyaga?Kwa hiyo mkuu nani anapanga izo bakuli?
Kwa hiyo Mungu ni mbaguzi?awape wengine wengine wakose?Aliyewaumba. Kiislam tumekatazwa kuua watoto kabla hawajazaliwa au wakishazaliwa kwa kuhofia umaskini. Kasome kitabu cha JK alienda primary peku peku, Leo hii nchi gani hajakanyaga?
Hiyo ndo nguvu ya muumba, anafanya atakavyo, Covid inasumbua wazungu walioendelea kwa matibabu ,kuliko kwa nchi maskini zinazotegemea miti shamba.
Maoni yangu jibu ni Ndiyo na hapa. Mtoto kuja na bakuli/sahani yake inategemea na investment ya mzazi kwa mtoto au watoto wake.Maoni yako?
Ulikua hospital gani mkuu...Mbona Mimi Wangu nilimzaa na bakuli limejaa wali harage....Ukiwa unafanya utafiti uwe makini...Sio unakuwa unawaza Papuchi TU..Sidhan. Mimi nimekaa sana Hosp nikifanya kazi kwenye tafiti flani na nikiona watoto wanaotoka kuzaliwa.sikuwah ona hata mmoja ambaye acha kuja na bakuli hata kijiko tu. Wanazaliwa wakiwa hawana kitu kabisa. Hao ambao wanazaliwa na mabakuli sijui inakuaje.
Dah... Acha woga...pambana..kuwa mzalendo.....wingi wa watu ni msingi wa uchumi... fyatua sana tu...Hii tabia ilienea sana kwa watu wa pwani ambayo walirithi toka uarabuni.
1. Kama kweli kila mtoto huja na riziki yake kwanini kuna watoto wa mtaani?
2. Kwanini kuna watoto wanaoishi katika mazingira magumu?
Kaa kizembe fyatua watoto 10 huku ukiwa kibarua, umejenga kinyumba chako kama kituo cha polisi baada ya miaka kadha uanze kumlaumu Mungu kwa matatizo.
Mimi siamini huo mtazamo sababu zangu ziko juu hapo.
Mi nilidhani Jack Ma ndiye mwenye watoto wengi,China fursa za ajira zinaendana na idadi ya watu na walio wengi ni qualified personnel sio huku the rate of being employed is decreasing rapidly!usipotoshe.Acha uoga tafuta pesa, zaa watoto!
Familia kubwa ni asset! Jack Ma ni tajiri mkubwa kutokana na population kubwa ya China inayo subscribe bidhaa zake!
Kila kitu ni " subjective" unaweza kuwa na mtoto mmoja na bado ukashindwa kumpa huduma za msingi!
Hivi Marehemu Reginald Mengi angeweza kuzaa na kuhudumia watoto wangapi?
ACHA UOGA TAFUTA PESA, THEN ZAA SANA!