Hivi mpaka leo kuna mtu anaamini kuwa kila mtoto anakuja na bakuli yake?

Mkuu hiyo ni ecosystems lazima iwepo.
Walimu wa Bios njooni msaidie kuelimisha hapa
 
mipango ndiyo maendeleo sasa hakuna mambo ya bakuli
 
Ulikua hospital gani mkuu...Mbona Mimi Wangu nilimzaa na bakuli limejaa wali harage....Ukiwa unafanya utafiti uwe makini...Sio unakuwa unawaza Papuchi TU..

Ona Sasa hujaona mabakuli wanayozaliwa Nayo watoto SO SAD
Sio dodo mbili na muhogo?!
 
Ulikua hospital gani mkuu...Mbona Mimi Wangu nilimzaa na bakuli limejaa wali harage....Ukiwa unafanya utafiti uwe makini...Sio unakuwa unawaza Papuchi TU..

Ona Sasa hujaona mabakuli wanayozaliwa Nayo watoto SO SAD
Sasa baadaye msije sema wanaume wana vibamia kumbe mnazaa watoto wana mabakuli kabisa
 
Tatizo mnaamini...wote waliokuwa machokoraaa....Wazazi Wao Ni masikini...

Unaamini kwakua Wewe unamaisha Mazuri Basi watoto wako.lazima watakuwa na maisha mazuri...inawezekana kabisa...but sio Guarantee
 
Kwa hiyo mzee huamini uwepo wa Mungu? Kwani wewe unapata mkate kwa ujanja wako
 
Fala...
 
Maoni yangu jibu ni Ndiyo na hapa. Mtoto kuja na bakuli/sahani yake inategemea na investment ya mzazi kwa mtoto au watoto wake.
Hapo hakuna cha investment,maana kama anakuja na sahani ina mana yeye ndio ainvest kwa wazazi,je ni kweli?
 
Kwa nini uzae watoto ukitegemea bakuli za kuomba omba
Usidhani bakuli zote zitatoka ama watoto watapata kwa namna zinazofanana.

Kuna ambao watapata bakuli kutoka kwa wazazi wao.

Kuna mbao watapata bakuli kwa kuomba omba.

Sasa wewe unadhani kwamba bakuli la watoto wote litakuja kwa namna moja...big no
 
Hapo kwenye avatar picha yako unatomba sakafu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…