Hivi mpaka sasa, bado kuna Watanzania wanaotegemea kuni na mkaa kwa ajili ya kupikia?

Hivi mpaka sasa, bado kuna Watanzania wanaotegemea kuni na mkaa kwa ajili ya kupikia?

Ukosefu wa elimu, Wengi wanaamini kitu kama gesi ni gharama sana na hatari inaweza kulipuka ndani.

Wengine wanaamini umeme unatumika mwingi kupika kwahyo gharama ni kubwa kuliko kununua mkaa au kuni

Kuna Fala mwingine anasema chakula cha kuni au mkaa ni kitamu kuliko cha gesi au kuni
Fala wa kwanza ni marehemu bibi yako aliyechemsha maji kwa kuni kumkanda mama yako baada ya kujifungua mtoto fala km wewe unayejinanga mitandaoni..
 
Back
Top Bottom