Hivi mpaka sasa bado unanga'ng'ania Dar es Salaam wewe loser my friend..

Ukiona umeshindwa kuishi hata Dar tu mji mdogo huu jua maarifa yako yamefikia ukomo
Mzee dar kwani kuna nini??zaidi ya vijumba kama jela,kutobolewa madirisha na watu kuigana maisha
 
Yani nitapeliwe mim🀣🀣🀣
Mim ni mweusi lkn sio tii kama tako lako.
Eeh kumbe unajichubua eeh ndo mana umekuja mbio mbio huku mkuyenge umekusimama.
Unavaa vikuku na hereni mhhhh basi kaa hapo hapo nakutafutia sugar daddy
Wape mama mashoga hayo hayawezi kukukuna vinzuri
 
Ukienda soko lolote la Dar ukapaza sauti "Panya Road haoooooooooo wanakujaaaaaaaa......"

Baada ya dakika 2 soko zima litakuwa limejaa mavi.
 
Ukienda soko lolote la Dar ukapaza sauti "Panya Road haoooooooooo wanakujaaaaaaaa......"

Baada ya dakika 2 soko zima litakuwa limejaa mavi.
Waoga sana,eti panya road waje chugah,yani dakika 10 wote wamekufa,hawapajui chugah yani arusha baba Lao,watu wajanja wanatoka chugah,alafu wanatafuta pesa sana huku atupaki poda,wala lotion,hatuvai vikuku wala shanga,wanaume wa dar wanavaa viatu vya kike yani hata nguo zao kama za kike
 
Dar wanaishi watu wenye akili tu.. kama hauna akili kama wewe lazima uwe na tabia mbili kuu 1. Kulalamika kila siku maisha magumu 2. Kama upo mkoani unakuwa na hofu ya kuja dar na kuona bora ubaki huko huko ule vumbi ... japo nipo canada ila Dar ni bora zaidi kuishi kuliko mikoa mingine yote Tanzania.. wenye akili kubwa hutumia mikoa mingine kuwekeza kwenye kilimo au kibiashara ila kama unataka kuishi nenda Dar .. Angalizo! kuishi dar inahitaji uwe na akili timamu usije sema sijakwambia... uwe na wakati mzuri
 
Sasa mzee dar huwekeze kwenye kilimo??utalima lami au??kwanza pakame sana,bora uendelee kuishi huko Canada,dar sasa.mashoga kila kona yani tembea mida ya jioni ndo utaona uhalisia nao kuambia,mzee pakulima ni njombe,na.mbeya,dar watu wakule hawana akili ndo maana wanaigana vibiashara,ela unatafuta nyingi ila inaisha kwenye matumizi,kupata maendeleo ni ngumu sana dar
 
Kwa mtu mwenye akili,aanze kuondoka dar now,maana hali inaenda kuwa mbaya,atafute mikoa hii aende njombe,arusha,mbeya,moshi huko ataenda kuishi kwa amani,maana DW imesema africa inaenda kukumbwa na ukame baada yamiaka 4,basi shida ya maji itakuwa mbaya sana,kenya ishaanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…