Hivi mpaka sasa bado unanga'ng'ania Dar es Salaam wewe loser my friend..

Hivi mpaka sasa bado unanga'ng'ania Dar es Salaam wewe loser my friend..

Huku hamna kuoza meno ,hakuna mademu majike dume hata walitoka huko kwenu wakina hapa lazima wbadilike ,mishe mishe kibao Yale matambaa ya mitumba kwenu ndo ujanja huko wanavaa watu wa hali ya chini...kamji chenu kama population ndogo mkija dar ushamba ni mwingi mkiona bahari basi mnachachawa.

Huku uwezo unajielewa sio kelele mkirudi kwenu mtakuwa maskini na mtauwana maana wengi ni mtapeli, wezi ,walevi na wazee wa magendo na hapa ndo Kuna mzunguko mkubwa...wa dar hajawai kufika huko kushinda na Makoti kama bodaboda we juzi tu ulikuwa huku umefuata nn?[emoji23][emoji23][emoji23] Kijana dar inahitaji street wisely kuwa smart mnajulikana kwa meno yenu na kuvaa matambaa ya mitumba miaka nenda rudi hamjiamini unashinda kuleta battle coz hata umwambie father wako wapi ni best anajua....wengi mnashinda pale china plaza mnauza mitumba na usela mavi
Mm niwa Arusha umesema ukweli mtupu
 
Watu wavivu hawawezi kuishi jijini Dar es salaam
Mbona vijana wa dar kazi ZAO SASA YANI UTASHANGAA,MIMI NIUZE PWEZA??AU NIPAKE KUCHA RANGI??
Joto ni kwa vile huna hela,nyumba in ina AC,gari AC,ofisini AC shopping mlimani city joto liko wapi ,nasisitiza tafuta hela ,niko Qatar viwanja vimefungwa kupupwe hatari,nchi ya joto ila sijawahi kutoka jasho
Upo sehmu gani??
 
Wanaohitimu vyuo wote wanaenda kujibana daslam, sio kwamba wana ajira no, anaona aibu msomi kwenda kuishi kijijini/kwao!

wengi niliosoma nao niliwaacha daslam mpaka leo na hawana ajira.
mm nawaambia, kama huna kazi ya kueleweka mzee wafwa! Utazeeka unajiona.
mkuu,
ukipata mil2 nenda katafute fursa hata vijijini. Daslam mtu wa kipato cha chini, aisee!
chai tu aftatu, msosi aftano, kipato afkumi na tano/siku mmh

ok maisha popote
 
Huku hamna kuoza meno ,hakuna mademu majike dume hata walitoka huko kwenu wakina hapa lazima wbadilike ,mishe mishe kibao Yale matambaa ya mitumba kwenu ndo ujanja huko wanavaa watu wa hali ya chini...kamji chenu kama population ndogo mkija dar ushamba ni mwingi mkiona bahari basi mnachachawa.

Huku uwezo unajielewa sio kelele mkirudi kwenu mtakuwa maskini na mtauwana maana wengi ni mtapeli, wezi ,walevi na wazee wa magendo na hapa ndo Kuna mzunguko mkubwa...wa dar hajawai kufika huko kushinda na Makoti kama bodaboda we juzi tu ulikuwa huku umefuata nn?[emoji23][emoji23][emoji23] Kijana dar inahitaji street wisely kuwa smart mnajulikana kwa meno yenu na kuvaa matambaa ya mitumba miaka nenda rudi hamjiamini unashinda kuleta battle coz hata umwambie father wako wapi ni best anajua....wengi mnashinda pale china plaza mnauza mitumba na usela mavi
Agiza bia nakuja kulipa
 
Wewe unakosea kama unabisha tambua Bora ya dar kuliko chuga ,chuga hakuna watu wengi ni pale town tu basi ,fursa ni chache..kwa sasa labda useme dodoma ndo Inakuwa na huko ni joto na ukame Tena ila ardhi Ina laana kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa utaenda wapi? Bora ya dar mkuu watu wako huku kwa ajili ya fursa uende chug fursa ni chache sana na fursa ni kwa mason wale wa juu.

Njoo kweny ulaji hapa watu wanajua kula sio maugali sisi wa Pwani sio priority kabisa ,ukienda Tanga utakuja kunyweshwa chai usiku na silece tatu [emoji23][emoji23][emoji23]au Zanzibar
Msituusishe watu Tanga kwenye Uzi wenu mmeshatudharau sana tumekaa kimya kila takataka Basi lazima mpeleke Tanga hatutaki shobo na nyinyi bata maji wewe
 
Back
Top Bottom