We Mboga unakula?Huku hapafai kuishi wanawake atakuwa jikedume😂😂😂
Usipigishane nae kelele 😂😂😂hajiamini kabisa ...Anaona kushinda na Makoti ndo ujanja kumbe kwa sababu ya baridi la kwaomkuu dar ndio Ina watu wajanja wafulsa kiliko mkoa wowote. nakujisifia Kula sana siosifa nzuri
😂😂😂😂Unaona wewe unashobokea dar ila watu wa huku hawana habari na nyie.We Mboga unakula?
nikawa natafuta chumba, vyumba vimeoza zunguka kawe tegeta vyumba vizuri vipo ila vipo mbali,Mzee kili kukuta kipi
Yani wewe bonge la boya,kwani kuoza meno ndo nini,arusha wanavaa makoti kwakuwa kuna baridi,au unataka tuvae vibuka vilivyokatwa? nakujipaka lotion? au kujichubua?Huku hamna kuoza meno ,hakuna mademu majike dume hata walitoka huko kwenu wakina hapa lazima wbadilike ,mishe mishe kibao Yale matambaa ya mitumba kwenu ndo ujanja huko wanavaa watu wa hali ya chini...kamji chenu kama population ndogo mkija dar ushamba ni mwingi mkiona bahari basi mnachachawa.
Huku uwezo unajielewa sio kelele mkirudi kwenu mtakuwa maskini na mtauwana maana wengi ni mtapeli, wezi ,walevi na wazee wa magendo na hapa ndo Kuna mzunguko mkubwa...wa dar hajawai kufika huko kushinda na Makoti kama bodaboda we juzi tu ulikuwa huku umefuata nn?😂😂😂 Kijana dar inahitaji street wisely kuwa smart mnajulikana kwa meno yenu na kuvaa matambaa ya mitumba miaka nenda rudi hamjiamini unashinda kuleta battle coz hata umwambie father wako wapi ni best anajua....wengi mnashinda pale china plaza mnauza mitumba na usela mavi
Sasa hilo wakazi wa dar hawataki kuelewa,kijana ana miaka 18 chuga ana maisha manzuri kuliko kijana wa miak 28 dar, waje waone watoto wadogo wamejenga sio vijana wa dar umri mkubwa bado wapo kwaonikawa natafuta chumba, vyumba vimeoza zunguka kawe tegeta vyumba vizuri vipo ila vipo mbali,
Sasa bana nikachukua chumba kimoja hivi kina tiles fresh, siku ya kwanza naamka asubuhi kukata gogo niende mishe nakuta mama mwenye nyumba amekaa kwenye kitengu cha choo, akafanya kunipisha, ukiwa chooni unafanya kila namna usitoe sauti
Kingine dar matumizi makubwa sana arusha nikipata 30 naweza sevu 20 au 25 lakini dar haiwezekani, kwanza akili inakuwa kama imekufa hivi,
Nikiwa arusha ubaridi saafi chakula cha kumwaga, hamna jam
😆😆😆😆dar ikaja anakula alaleKwakweli ila chipsi ni mboga tuacheni utani mi chipsi nalia ugali
Nyie vaeni vibukuta vifupiUsipigishane nae kelele 😂😂😂hajiamini kabisa ...Anaona kushinda na Makoti ndo ujanja kumbe kwa sababu ya baridi la kwao
😂😂😂😂Unaona wewe unashobokea dar ila watu wa huku hawana habari na ny
Kwanini hampigi mswaki Hadi mnaoza Meno? Huko ArushaYani wewe bonge la boya,kwani kuoza meno ndo nini,arusha wanavaa makoti kwakuwa kuna baridi,au unataka tuvae vibuka vilivyokatwa?nakujipaka lotion??au kujichubua??watu wote wasiona akili wapo dar kwakuwa hawaumizi akili kwenye biashara kazi kuigana,kila mtu msanii na story zao sasa simba na yanga?mara diamond kaanzisha shirika la ndege tafuta pesa jambi sisi huku kazi zetu tunadeal nawazungu mangi.
Ukiniona. Imekuja dar jua nimekuja kwa sababu maalum sio nakuja kuishi mahali pakiwaki
Mzee tatizo sio mswaki tatizo maji,alafu sisi tunajikubali sanaKwanini hampigi mswaki Hadi mnaoza Meno?
Kama Hadi maji shida hapo huko siwez kukaaMzee tatizo sio mswaki tatizo maji,alafu sisi tunajikubali sana
Mzee nilisema matusi sitaki sasa unapoelekea utapenda na roho yako,mimi kufungiwa siwazi joo ila utapata unachotafuta bwabwa weweHuku hapafai kuishi wanawake atakuwa jikedume😂😂😂
Wananunua magari pa ku Park hakunaSasa hilo wakazi wa dar hawataki kuelewa,kijana ana miaka 18 chuga ana maisha manzuri kuliko kijana wa miak 28 dar,waje waone watoto wadogo wamejenga sio vijana wa dar umri mkubwa bado wapo kwao
Mzee endelea kujipaka lotion😂😂😂Baridi ya nn ningeenda kuishi lushoto kila kitu kipo mazingira safi 90% vijana wanajielewa maji masafi Tena ya baridi 24 hours..hamna wavuta bangi wa ovyo wala omba omba kwa watalii
🤣🤣🤣🤣🤣 washambaWananunua magari pa ku Park hakuna
Amesema kuwa wewe Ni demu dume ukija dsm utageuzwa MbogaMzee nilisema matusi sitaki sasa unapoelekea utapenda na roho yako,mimi kufungiwa siwazi joo ila utapata unachotafuta bwabwa wewe
Umejaribu kuficha makasiriko yako ila umeshindwa. Dar sio ya kila mtu jombaa. Kama babaako aliishindwa we utaiweza wapi babu....endelea kusingizia hupendi joto tu huna namna maana kama dingilai tangu miaka ya 80 na hakutoboa akaishia kuhonga hatutegemei usifie Dar wala watu wake.Niko fiti kamili gado,sijui wewe???
Hoja yangu ya msingi inakwenda kwa nyie wakazi wa bongo land a.k.a jiji la chura wanaonesanesa kwenye vumbi,vijana wala chips mlenda mlenda😅😅 a.k.a mabwabwa,ila sio wote wapo hivyo ni baadhi yao,msinielewe vibayaaa.
Laana iliyopo dar ni zaidi ya sodoma na gomora,dar ya sasa sio kama ile dar ya baba yangu alienda miaka ya 98 akapiga pesa mpaka akajenga nyumba kubwa kama ikulu ya magogoni,dar zamani bana,kila kitu kilikuwa shwari,pesa kibao watu walikuwa wakarimu tena waliojaa upendo sana.
Hivi mtaacha tabia lini ya kutembeza vigoma mtaani huku wadada wakiwa uchi,au ile tabia ya kufunga barabara kisa mnaenda kuangalia mabondia wakipima,hii nimeiona mabibo juzi yani wadada waliochoka na maisha wamepakizwa kwenye mapikipiki huku vingoma vinapigwa tabu tupu..
Dar mnalia tabu ya maji,huwa nikisikia eti dar maji tabu nachekaga sana,nakutafakari baada ya miaka 10 mbele dar itakuwa kama ile movie ya mad max,maji yamekuwa deal mpaka mtu unaona ni bora ukaoga kwenye ndoto,ukiamka kila kitu ushamaliza kwenye ndoto..
Vidada vya dar es salaam vinatembea uchi,alafu vinaangalia pesa sana,yani utasikia wewe mkaka wa arusha mrefu basi mzigo wako utakuwa tu mrefu mimi hata usinipe pesa nyingi,nipeleke guest ukanipelekee moto asubuhi nipe elfu 5 tu,huku hakuna wanaume wakupiga mashine kama nyie wachuga,nacheka kwa madharau sana dar wanaume mnatuangusha 😅😅😅,wanasema nyie wakaka wa chuga na kina ngosha mpo vinzuri sana,eti ni kweli wanavyosema ???
Siwezi nikaishi dar,kwanza sipendi joto sana,napenda kuishi kwenye ubaridi wa wastani,vijana wa dar hawajui kula yani dume nzima linakula chakula sahani nusu khaaa mimi siwezi juzi nilipokuwa dar nimekula sahani 3 kwa mama ntilie mpaka watu wamenishangaa wakati kwangu kawaida sana,mwanaume heshima kwenye kufinya diko,huwezi nikuta nakula chips hata siku moja sasa hizo chips nitakula sahani ngapi ili nishibe sinitamaliza tu pesa yangu bure 😅😅😅 siongei hapa ilinijisifu bali nachokiandika hapa ni kweli..
Wanasema dar kuna pesa,ni kweli kunapesa ila sio kama zamani,kwanza sasa hivi biashara za kuigana sana,sio madharau bali nasema ukweli huwezi nikuta nauza matunda au nimefungua Kigoli kidogo nauza nguo,au nauza vipweza barabarani daah ni bora nizame Bush tu,usinifikirie vibaya naongea ukweli wangu.
Najua kwa wakazi wa dar mtachangia kwa hasira sana,ila heshima ifuate mkondo moderator hawajalala mda huu.
ONE TIME,
ONE FOR THE ROAD,
APPROXIMATELY ONCE AGAIN..