Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,030
- 40,122
Nyie mna nn cha maana kwa mko wachache Tena wengi hawajielewi huoni kwamba dar imekushinda unarudi kijijini kwenu...sasa tambua sehemu ni tofauti ushamba wako wa mkoani usiulete pwani...Jamii yenu haijastaarabika dar ndo mpango mzima nyie kuomba omba wazungu ndo biashara si ujinga walienda nje wanasema watanzania ni ombaomba ...nenda Nairobi mmejazanaa omba omba kutoka kwenu huko waulize wakenya..wale vijana wenye addiction nyingi ni watu wa huko mkimaliza chuo mrudi kijijini kwenu😂😂😂😂Yani wewe bonge la boya,kwani kuoza meno ndo nini,arusha wanavaa makoti kwakuwa kuna baridi,au unataka tuvae vibuka vilivyokatwa?nakujipaka lotion??au kujichubua??watu wote wasiona akili wapo dar kwakuwa hawaumizi akili kwenye biashara kazi kuigana,kila mtu msanii na story zao sasa simba na yanga?mara diamond kaanzisha shirika la ndege tafuta pesa jambi sisi huku kazi zetu tunadeal nawazungu mangi.
Ukiniona. Imekuja dar jua nimekuja kwa sababu maalum sio nakuja kuishi mahali pakiwaki
Mbona dar hawaozi meno iyo ni nembo yenu kutokana na maji yenu hayana usafi kiivyo kama mnavyodanganywa ni uchafu ndo maana mnaharibika..
Tambua huku Kuna watu wengi kuliko nyie wachache then tambua hamjiamini mpaka mushambulie ..usifananishe sehemu Ina kila kitu usafiri wa kila aina mpaka bandari na upumbavu wenu ..wa kuvuta mabangi.